Lowasa aukana urais

Hivi gamba lilishavulika au bado?


 
Lowasa ni zaidi ya nani mtani jembe anafaa huyu bwana kuwa raisi wa nchi hii isokuwa na watu wenye msimamo
 

Kuna jamaa yangu aliwai nimbia msemo huu.."kila kiongozi umuonae madarakani anareflect akili za jamii husika "
Ukiona jamii inamuita mtu mwizi at the same time wanasema huyu ndio anafaa kutuongoza nafikiri hapo unapata picha akili za hiyo jamii zikoje.
Kashfa za ubadhirifu na matumizi mabaya ya ofisi yalipelekea EL ajiuzulu lakini leo hii anaitwa PM mstaafu ili kupunguza makali ya kashfa zake.
Sa hivi kajua akili za jamii anayotaka kuitawa ipoje anachofanya anamwaga tu hela afu anasikilizia pembeni...watu weeee raisi raisi raisi
Ni vizuri kwasababu siasa ni vita cha msigi mtu ashinde ila ni kweli kabisa watanzania tumekuwa wepesi kiasi hiki.
Kweli kweli huyu jamaa leo hii ndio anaonekana lulu..mwenye utajiri husiojulikana source mwenye kumwaga hela bila kujali atazirudisha vipi..duh
 
Nataka nionane na Lowassa nipige nae story hata nusu saa tu.
Huyu jamaa bwana ana ni impress flani kwa mbali. Hivi mlishamsikia akitoa majungu kama vilaza wengine wa CCM.
Halafu napata feeling ni logical thinker. Yani anaweza kaa na viongozi wa nje wa kamuheshimu kwa level ya intelligence yake. Halafu he has a sense of pride as an african and tanzanian simwoni kama mtu wakujibembeleza bembeleza na kujikomba!
Nahitaji tu nimsikie candidly.
But so far Lowassa is the main deal!
 
Lowassa alionyesha uwajibikaji na kama ni ufisadi tuonyeshe nani msafi.
Lowassas PRIDE is what I bank on as a sign that he will lead better. He is the likes of Kagame and Uhuru, sio puppets hawa jamaa by nature. Ni wanajiamini na kufanya maamuzi. wether maamuzi haya ni sahihi au sio sahihi ni subjective, lakini atleast tunakua tumepata kiongozi decisive. Jamani tumechoka kuendeshwa na nyota na kuombaomba ulaya! Tumechoka kuongozwa na watu wasiojua hata kwanini tumaskini!
 
Acha kudanganya watu wewe. Hotuba ya lowasa ipo mtandaoni. Kama huna cha kuandika nyamaza kimya kabisa. Tulia kabisa. Forever and ever.
 

Mkuu, unamaanisha kwamba jamaa ni fisadi lakini anawajali wananchi kuliko kina Pinda anayejiita mtoto wa mkulima lakini hana jipya? Kama kweli fisadi Lowasa leo hii kaonekana malaika, pamoja na fedha chafu anazomwaga kwa wananchi na ambazo hazijulikana kazipataje, hiki ni kiashiria tosha kwamba kweli CCM wameishiwa viongozi....kuna ombwe kubwa sana la viongozi ndani ya CCM!!!!
 

Nyekundu

Kwa maneno mengine kwenye chama ulipo hii ni sifa muhimu kupata mgombea urais, na unakubalina nayo kwa asilimia mia moja. Ningependa nijue upo chama gani Engineer.

Bluu

Hawa ni akina nani ?

Nyeusi

Aisee...! nilikuwa sijui kama kuna vyama vimesajiliwa kwa malengo haya.
 


Umesema kweli mkuu, atakayekushambulia basi ana matatizo ya kijinsia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…