Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,583
- 27,838
Kwa jinsi nionavyo mambo yalivyo ninafikiri fisadi Lowasa lengo lake kwa kupitia KLM/ukawa hatafuti uraisi wa JMT ingawaje mwanzoni uliutaka kupitia CCM, bali anataaka kulipiza kisasi tu, nimekuwa nikimuangalia fisadi Lowasa tangu siku za mwisho kabla hajakatwa na Chama Dola alikuwa ambaye wazungu wangesema ,,bitten down" na aliyejaa ghadhabu kwani anaonekana anaamini kuwa amesalitiwa na wale ambao siajabu walikubaliana tangu mwanzo (mwanzo maana yake miaka krb 20 iliyopita) kwamba sasa ni zamu yake na jamaa alijiandaa kweli kweli siyo mchezo kuanzia Makanisani, Misikitini, bodaboda mpaka Vyuo Vikuu halafu dakika ya mwisho siku hatima yake ya kisiasa inakuja kuamuliwa na kijana mdogo sana Nape Nnauye naamini hilo jambo fisadi Lowasa limemuuma sana kwani hakutegemea kutukanwa na vijana kama akina Makonda!
Sasa baada ya hapo naona akaamua sasa ngoja nimwage ugali kwa maana ya kuibomoa CCM ili tukose wote na ameamua kufanya hivyo kwa kuujenga Upinzani ili hali yeye mwenyewe anaelewa kwamba hawezi kusinda Uraisi kwani anaujua mfumo wa TanZania ulivyo siajabu klk mtu yoyote yule, kwa nini ameamua kufanya hivyo? kwangu mimi nafikiri ni kwamba ana hasira sana na anataka kulipizia tu, yaani kuidhoofisha CCM ndiyo maaana unaona watu wake wa karibu hawajamfwata kama akina Nchimbi, Mama Sofia Simba kwani wanajua Uraisi hawezi kushinda kumbuka fisadi Lowasa mwanzoni alisema atahama na Wabunge 150 lkn mpaka sasa hivi waliomfwata ni wale waliokatwa na CCM, sasa kwa nini? Ni kwa sababu wamepima na wameona Uraisi Lowasa hapati, na anasukumwa na Hasira tu!
Na baada ya uchaguzi fisadi Lowasa atarejea CCM siku moja kwa nje ya CCM hawezi kushamiri!