kukaa kimya sio jibu awaambie ndugu jamaa, marafiki na washabiki wake waende upinzan tena chadema kuongeza nguvu yao kweny ukomboz hata kama yey hagombei ila awaelekeze watu wake cha kufanya
kukaa kimya sio jibu awaambie ndugu jamaa, marafiki na washabiki wake waende upinzan tena chadema kuongeza nguvu yao kweny ukomboz hata kama yey hagombei ila awaelekeze watu wake cha kufanya
Jamaa keshawaelekeza tyr mkuu. Hujaona posts za TeamLowassa hapa JF zilishabadilika tyr? Mpk tar.25 July mtashuhudia Kimbuga kikubwa sana. Leo tu kuna matukio mengi mtayaona. Mwaka huu ni wa mabadiliko
Jama keshawaelekeza tyr mkuu. Hujaona posts za TeamLowassa hapa JF zilishabadilika tyr? Mpk tar.25 July mtashuhudia Kimbuga kikubwa sana. Leo tu kuna matukio mengi mtayaona. Mwaka huu ni wa mabadiliko
asante sana mku unajua vita unaweza ukashinda kwa urahs kama una kamanda kutoka kwa maadui zako kaja kwako kwa nia ya kulipiza kisas, lowasa mwaka ukawa wakishinda achongewe sanamu kama kumbukumbu ya ukomboz