Hili halukubaliki. Mbatia kumdhalilisha Lowassa No. No. No. Haiwezekani Mbatia ambaye si mgombea urais, atake mdahalo ufanyike ukimjumuisha yeye na sio Lowassa. Yeye Mbatia ni Nani? Inamaana Lowassa hana uwezo au hajitambui? Ina maana Lowassa anaweza kushindwa kujibu hoja au kumwaga sera? Ina maana Lowassa ni mgonjwa sana mpaka kushindwa kuhudhuria mdahalo?Mbatia acha kumdhalilisha Lowassa. Wewe ni kichuguu tuuu.