Bollo Yang
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 440
- 50
Wandugu,
Nahitaji Masada wenu on this, Anyone who can help? NiTashukuru sana kama nitasaidiwa.
Nahitaji Masada wenu on this, Anyone who can help? NiTashukuru sana kama nitasaidiwa.
Wandugu,
Nahitaji Masada wenu on this, Anyone who can help? NiTashukuru sana kama nitasaidiwa.
Kuwa muwazi basi tukuelewe zaidi....maana thread yako ni kama ina-hang tu
Naomba msaada wa kujua dawa ya kutatua tatizo la low sperm cell count
Bollo haina haja ya kufafanua GT washakuelewa na washakujibu fuata ushauri wa mdau wa pili hapo,huyo JS anataka kuongeza idadi ya post tu.
Sina haja ya kuongeza idadi ya post King Kong wangu nilimtaka afafanue zaidi ili na mimi nielewe low sperm count ni nini na alikuwa anaomba asaidiwe nini...ushanifahamu??
kaka una mtoto?
.....nakushauri utazame majibu yako kwa ujumla yaani sperm analysis result. Angalia sperm count(wingi), viability (zina uhai/uwezo wa kusababisha utungaji mimba), motility (zina mwendo/kasi ya kawaida) nk. Hivi kwa ujumla vinakupa conclusion kama ikiwa utaweza kuzalisha sperm za kutosha zinaweza kukupa mtoto. kama tatizo ni low sperm count tu, ushauri mwepesi ni kutengeneza kalenda wewe na mwenza wako ili kujua siku ambayo yeye anaweza kutunga mimba (ovulation). Mkisha kuwa na hiyo kalenda, sasa hapo fuata ushauri wa mchangiaji mmoja hapo juu, punguza KU DO na mwenzako (simply, dunduliza kidumu kijae) ....All the best!Wandugu,
Nahitaji Masada wenu on this, Anyone who can help? NiTashukuru sana kama nitasaidiwa.
JS anataka kuelewa jamani mbona munawazuilia watu wasifahamishwe? mkuu vipi hapa ni mahala pa wazi kufahamisha hapa ni kama hospitali ukimueleza Daktari matatizo yako Daktari atakutibu kirahisi kuliko kuficha ficha Waswahili wanasema kila mficha uchi huwa hazai.Bollo haina haja ya kufafanua GT washakuelewa na washakujibu fuata ushauri wa mdau wa pili hapo,huyo JS anataka kuongeza idadi ya post tu.
JS anataka kuelewa jamani mbona munawazuilia watu wasifahamishwe? mkuu vipi hapa ni mahala pa wazi kufahamisha hapa ni kama hospitali ukimueleza Daktari matatizo yako Daktari atakutibu kirahisi kuliko kuficha ficha Waswahili wanasema kila mficha uchi huwa hazai.
Hapana Js anataka kujuwa nini maana ya hilo neno (Low sperm count) Upungufu wa mbegu za Uzazi kwa Mwanamme usimfikirie vibaya Mkuu JS.Nimekuelewa mzizimkavu.Nilihisi JS kama anataka kumpagawisha.