Kwema wadau? Nyumba kama hii inaweza cost shilingi ngapi? Nimeipenda sana nataka kuijenga...
Anyone who can estimate the cost for building a house like this in Dar es salaam?
With much thanks in advance
Ukiwa na dhambi nyingi, huioni🤣😀Mbona siioni😃😃🤒
MfatiliajiWewe ni fundi ujenzi? Civil Engineer?
Nimeona bhana😃😃, mwanzo alikua hajaweka picha😅Ukiwa na dhambi nyingi, huioni🤣😀
Mwanzo alikua hajaweka my dear,Watu mnatumia simu gani hamuoni picha