Nyie Wakenya wapumbavu KQ lini mmepata faida, Fastjet ina umri gani,mmewahujum kwa muda mrefu,nikiwa waziri mwakani nitawafutilia mbali hapa Tanzania,pumbafuuuuuuu!!!
Nyie Wakenya wapumbavu KQ lini mmepata faida, Fastjet ina umri gani,mmewahujum kwa muda mrefu,nikiwa waziri mwakani nitawafutilia mbali hapa Tanzania,pumbafuuuuuuu!!!
Kama wakenya wapumbavu wewe ndio mwerevu? Acha kutukana wenzio wakati hujui wenzio wanakuonaje.Nyie Wakenya wapumbavu KQ lini mmepata faida, Fastjet ina umri gani,mmewahujum kwa muda mrefu,nikiwa waziri mwakani nitawafutilia mbali hapa Tanzania,pumbafuuuuuuu!!!
Niliposhushwa Geti ya porini Jomo Kenyatta nilijua hii ndege haitadumu Kenya. Wala sikurudi nayo nilipanda basi hadi Arusha nikakaa siku tatu nikapanda Kilimanjaro Bus hadi Dar. Fastjet huenda wameuawa kibiashara. Na nani sijui.
Hawa jamaa ni wathenge na hata hapa Bongo inabidi wafukuzwe... Walijinadi sana kuwa watahamishia makao makuu yao huko Kenya kutoka hapa Tanzania ambapo tumewazaa na kuwalea. Hawa capitalist hawana shukrani kabisa kenge hawa... Wacha wafe tu... Hawana uzalendo na nchi yetu Tanzania. Ni wapiga dili tu kama wapiga dili wengine...
KQ imekua hapa toka 1946Nyie Wakenya wapumbavu KQ lini mmepata faida, Fastjet ina umri gani,mmewahujum kwa muda mrefu,nikiwa waziri mwakani nitawafutilia mbali hapa Tanzania,pumbafuuuuuuu!!!
Ikiwa mimi niliona taabu kushushwa geti ambako hata taxi kupata ni shida sikutamani tena kubook flight ya NRB kwa Fastjet. Sikutaka kushushwa geti ile tena. Niliona hata abiria wengine wakifadhaika.Ni kitu gani ulichokiona kilichokufanya uone kuwa ndege hiyo haitadumu?
Sasa hilo ni kosa la fastjet au JKIN kuwapa sehemu ambayo ni mbaya. Vingine ni sabotage tuu.Ikiwa mimi niliona taabu kushushwa geti ambako hata taxi kupata ni shida sikutamani tena kubook flight ya NRB kwa Fastjet. Sikutaka kushushwa geti ile tena. Niliona hata abiria wengine wakifadhaika.
Ndiyo maana yangu walipigwa ili washindwe!Sasa hilo ni kosa la fastjet au JKIN kuwapa sehemu ambayo ni mbaya. Vingine ni sabotage tuu.
That is what is called height of desperation Dhuks.... ndo hiyo wanaleta ACTL tena.....Yet guys wanted it to be given preference as a Tanzania carrier, how shortsighted