ATL will suffer the same fate
Ndege si matatu
Hahahaha, wivuuuuuu. Ninyi ndani ya miaka 50 mpo na ndege 3 na shirika linawashinda hadi serikali imeamua kulichukua, Tanzania sio Kenya, endeleeni na wivu sisi tunasonga mbele.ATL will suffer the same fate
Ndege si matatu
He he, sawa sawa bro, time will tell mtasonga mbele hadi wapiHahahaha, wivuuuuuu. Ninyi ndani ya miaka 50 mpo na ndege 3 na shirika linawashinda hadi serikali imeamua kulichukua, Tanzania sio Kenya, endeleeni na wivu sisi tunasonga mbele.
Hadi walikofika Ethiopia Airways au Emirates.He he, sawa sawa bro, time will tell mtasonga mbele hadi wapi