Low cost carrier Fastjet exits Kenyan market after 11 months

Haaaaaaaaaaaaaaaha

Wea is geza at nlikuambia hata mwaka haitaisha kabla watokw kenya

Uko wapi?????

Unakumbuka mki kazia Gari z kenya zisiingie TZ na wageni juu ya Fastjet????

Hahahaha

Hata hyo Bomba ntakua hapa hapa tu ikianguka
 
Hawa jamaa ni wathenge na hata hapa Bongo inabidi wafukuzwe... Walijinadi sana kuwa watahamishia makao makuu yao huko Kenya kutoka hapa Tanzania ambapo tumewazaa na kuwalea. Hawa capitalist hawana shukrani kabisa kenge hawa... Wacha wafe tu... Hawana uzalendo na nchi yetu Tanzania. Ni wapiga dili tu kama wapiga dili wengine...
 
Nyie Wakenya wapumbavu KQ lini mmepata faida, Fastjet ina umri gani,mmewahujum kwa muda mrefu,nikiwa waziri mwakani nitawafutilia mbali hapa Tanzania,pumbafuuuuuuu!!!

Niliposhushwa Geti ya porini Jomo Kenyatta nilijua hii ndege haitadumu Kenya. Wala sikurudi nayo nilipanda basi hadi Arusha nikakaa siku tatu nikapanda Kilimanjaro Bus hadi Dar. Fastjet huenda wameuawa kibiashara. Na nani sijui.
 
Kama wakenya wapumbavu wewe ndio mwerevu? Acha kutukana wenzio wakati hujui wenzio wanakuonaje.
 
Niliposhushwa Geti ya porini Jomo Kenyatta nilijua hii ndege haitadumu Kenya. Wala sikurudi nayo nilipanda basi hadi Arusha nikakaa siku tatu nikapanda Kilimanjaro Bus hadi Dar. Fastjet huenda wameuawa kibiashara. Na nani sijui.

Ni kitu gani ulichokiona kilichokufanya uone kuwa ndege hiyo haitadumu?
 
Hawa jamaa ni wathenge na hata hapa Bongo inabidi wafukuzwe... Walijinadi sana kuwa watahamishia makao makuu yao huko Kenya kutoka hapa Tanzania ambapo tumewazaa na kuwalea. Hawa capitalist hawana shukrani kabisa kenge hawa... Wacha wafe tu... Hawana uzalendo na nchi yetu Tanzania. Ni wapiga dili tu kama wapiga dili wengine...

Kweli umewaelewa hawa jamaa. Nilikuwa naambia ndugu zetu hapa kuwa fastjet si kampuni ya kujivunia. Tatizo na foreign investors ni hiyo. Wanaitwa fair weather friends.
 
Nyie Wakenya wapumbavu KQ lini mmepata faida, Fastjet ina umri gani,mmewahujum kwa muda mrefu,nikiwa waziri mwakani nitawafutilia mbali hapa Tanzania,pumbafuuuuuuu!!!
KQ imekua hapa toka 1946
Imeanza kupata hasara 2010

Know ur lanes
 
''The airline and Kenya Airways have been battling for passengers on some of the Kenya-Tanzania routes, leading to fierce price war, which even caught the attention of the Kenya Civil Aviation Authority.

The industry regulator cautioned the two airlines against running advertisements of their tickets which were exclusive of extra charge in attempt to show that they are the cheaper option.''
 
Inaitwa dog fight, yaani kuburuzana, kung'aka na kung'atana hadi kieleweke. Hawa Fastjet wataihama Afrika, sasa kule Tanzania, Wabongo wameagiza mapangaboy, hayo yatawatimua Fastjet huko.
 
Ni kitu gani ulichokiona kilichokufanya uone kuwa ndege hiyo haitadumu?
Ikiwa mimi niliona taabu kushushwa geti ambako hata taxi kupata ni shida sikutamani tena kubook flight ya NRB kwa Fastjet. Sikutaka kushushwa geti ile tena. Niliona hata abiria wengine wakifadhaika.
 
Sasa hilo ni kosa la fastjet au JKIN kuwapa sehemu ambayo ni mbaya. Vingine ni sabotage tuu.
 
Yet guys wanted it to be given preference as a Tanzania carrier, how shortsighted
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom