So naweza tumia njia gani kuiagiza??
Tafuta tecno h6
Hiyo ikoje specfctn zake??
Kuhusu tablet, anataka awe anaitumia kufundishia iwe mbadala wa kubeba laptop, ni mwl wa chuo flan cha serikal si unajua tena wadada wa kizaz cha ntakupwelepweta.com
kama anataka mbadala wa laptop ni vyema ukamtaftia tablet za windows ambazo ni 2 in 1. inakuwa ni tablets na pia inakuwa ni laptop akiwa anafanya kazi zinazohitaji kuchapa anachomeka keyboard na akiwa darasani anapresent anacjhomoa keyboard anabaki na tablets tu.
hizi pia ni ngumu kuzipata na bei zinaanzia dola 60 hadi mwenyewe utakapojiweza. hizi za dola 60 zinakuwa na ram 1gb tu hivyo kuna wakati zitakuwa slow hivyo ni vyema akatafuta yenye 2gb.
za 2gb zipo zinazorange kwenye dola 150-200 (300,000-400,000) ila inakuwa haiingii line wala keyboard haina inabidi ununue separate
ipo moja dola 299(picha yake hio hapo juu) yenyewe inakuja na keyboard na fast processor
changamoto ya hizi tab za windows itabidi atumie modem au atoe hela ndefu kidogo akitaka zinazotumia line. kama upo tayari kutoa zaidi ya milioni then kuna surface 3 ni nzuri inaingia line ina 4g space kubwa nk ila kwangu mimi naona kama hailipi kutoa hela kubwa ili niachane na modem.
Duh!! ukiacha hizo za windows, vp kuhusu tecno na lg si ni kama na wao wametoa za kwao??? au haziko poa??
Halo bandugu nataka kununua any android phone, lakini yenye RAM kuanzia 1 gb na camera ianzie 6MP,naomba ushauri wenu, ni brand gani nichukue na bei yake ikoje??
Pia nataka nimchukulie wife tablet kwa ajili ya kazi zake, hapo pia naomba maoni yenu
Halo bandugu nataka kununua any android phone, lakini yenye RAM kuanzia 1 gb na camera ianzie 6MP,naomba ushauri wenu, ni brand gani nichukue na bei yake ikoje??
Pia nataka nimchukulie wife tablet kwa ajili ya kazi zake, hapo pia naomba maoni yenu
usije kununua tecno.
big up kaka kwa kumjali shemeji.
Tecno ipi? Coz zina vumilia chaji sana
TECNO H6 180000/=Tsh.
Acer tablet 450000/=Tsh. Kwenye maduka ya tigo
Hahaahahahs ahsante kaka
Nakushauri umnunulie galaxy tab s utakuwa umemjali zaidi