Loving you Mahondaw

Sawa nitakuachia na ya uzeeni pia sikuchuni kihivyo jamani nimekuita uje urelax
Utakuwa umefanya vyema

Nakumbuka Mzee mwenzangu mmoja alimalizwa Hela zote za Pension Mwaka 1997 alipokutana na Wajuzi wa mambo huko Mjini.

Huwezi amini nauli ya kurudia nyumbani tulifanya kumchangia wenzake πŸ™ŒπŸ˜œ
 
Mie sikukomoi babu wala mie sio maraya nimeona tangazo la massage nikaona nikupe hii idea
 
Da maua utapeli huo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Akija tu namfungia nampa vizuri na massage juu baada ya roubd one nampikia kaugali na maini nakamboga katamu end then maji yakutosha halafu ndio massage halafu anaoga anaangalia tv kidogo namkanda tena halafu tunaendelea goli tatu mzee atakuwa fiti tunatoka ijioni outing tukirudi analaka asubuhi sana namtengenezea chai yakuamsha engine basi mzee baba gari unaamka nakupakiza abiria
 
Mje mfundwe huku Joannah Missy Gf Tayana-wog πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kumbe na umbea unao daah. 52 years?? Very stupid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…