kotelyimola
JF-Expert Member
- Oct 9, 2015
- 1,459
- 1,509
Sasa itakuaje?Smart911 ni Wangu wakufa na kuzikana hata tununianejeeeeee hata tugombanajeee!
Forever and always my babe πππππππ!
Kuna watu wana ujasiri sanaKuna mwamba kishaichapa vya kutosha huko na kupiga chini ndio umerejewa mkuu
ππππ€£π€£π€£π€£ Haiwezekani woote mpo nyumba kubwa mi Leo United States of America...maana hii vita ni ya Ukraine na Russia
πππSasa itakuaje?
Kuna couple nyingi tu humu ni strong kuliko hata hii ambayo ni visible.Very interesting story on how you two guys met...
You made a very unique Couple over here.
Few couples came and gone, but yours still alive.
People might talk and sneering at your back, but never lose focus
On behalf of all Old men here and there, we wish you all best of luck
Kikosi kipi?? π€£π€£Ni Kikosi kimoja tu sasa...π!
Weee huoni hapo ππππ!
Hahahaha ( Kidding π€)
Vijana wa Pwani mna matatizo sanaWajanja wameitumia, fala karejeshewa
Hebu zitaje tukazivamie hatutaki watu wapendane hapa π€£π€£π€£Kuna couple nyingi tu humu ni strong kuliko hata hii ambayo ni visible.
By the way congratulations kwao kuwa pamoja tena.
Aisee nchi ngumu sana hiiRais akisafiri Nchi inakuwa chini ya makamu..!!
Halafu shem mjeda, tutapigwa mabomu ujue au kutu ufoo Salo nyie
Tena kwa aibu
Unforgettable na mwenzake unless iwe ilivunjika kimya kimyaHebu zitaje tukazivamie hatutaki watu wapendane hapa
Au sioOMG smart what a surprise dah!!
I'm speechless babe!!!
Wote wanawake tuMahondaw na smart, ni nani kati yao mwanaume?
Kumbe ilishavunjika πππUnforgettable na mwenzake unless iwe ilivunjika kimya kimya
π€£π€£π€£π€£π€£π€£ NimeipendaHebu zitaje tukazivamie hatutaki watu wapendane hapa π€£π€£π€£
Ndo hivyo Nchi haiwezi kukaa bila kiongoziAisee nchi ngumu sana hii
ππππ Ni kupinduana tyuu!!π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Nimeipenda
Uwepo wako Bwana uwe namiπ»πΉποΈπ€ombi langu Bwana wangu peke yangu sitaweza
Uwepo wako Bwana uwe nami.....
πJmn badae
Wote wanawake tu