Yaan engineer,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapana chezea UBOO, hii kitu inasimama dede na haina miguu, inafanya mtu utamke usiyoyajua, wekaa mbali na wahitajiii.
UBOO na uheshimiwe. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwaka wa kufosiπ π π πWanataka kujiweka, si unajua mwaka wa kufosi huu πππ
Migogoro yetu ni siri ndio maana hutuelewi,ngoja niwakimbie kwa hii thread ni hatari kwa afya ya mwanaume.Kaka upo?? Na wifi mshamaliza migogoro yenu?? π€£π€£π€£
Nilisahau huu ni mwaka wa kuforceπ₯π₯π₯π€£π€£π€£π€£Wanataka kujiweka, si unajua mwaka wa kufosi huu πππ
Wewe ndio ulikuwa muasi??Nendeni mkale nyie,[emoji1787][emoji1787]
Jmn mi ndo nakula zangu sembe na maini hapa
Apecha lolo ni mwanaume asiye na pesaHaina shida,nayahifadhi ila siku nikifahamu namna ya kuyatumia nawarudishia na msiseme nimewatukana hata kama nikiyaweka sehemu siyo.
π
Niache mama kijacho mieeeeee, ππππππππ kwanza we na kaka ako hamnipi matumizi mfyuuuuWizo tulia, utajifungua kabla ya muda π€£π€£π€£
Sipendi wanavyokufedhesha kwa namna fulani.For real hata mimi unanichanganya.
How comesπ? Itabidi unitumie nione
Nina peps yangu pembeni πWakupe na kinywaji upendacho
Kuhusu wadada hawa wazuri na wenye kazi nzuri au hela wananjia zao zakuwachukulia wenzao nyota.Niambie da maua
Seriously π°?Sipendi wanavyokufedhesha kwa namna fulani.
Enjoy hapa,nakukimbia kidogoπ
Utaaibika na nyumba zako wifi..!! Wakinga uchawi umelala na kuamkia hapo.!! πππKwaiyo nijipange Kwa vita nianze kutafuta Mganga mapema
Ukuda maana yake nini Chakorii πWewe ni mkuda sana π€£π€£π€£
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£SawasawaHahahahahahaha...hahahahahaha..ngoja nimfowardie chefs π¨βπ³
Nitakuweka bakora "nguvu za kumwaga -nguvu za kutosha"πsasa vyote hivyo unavipataje wakati unasambaza mahaba kwa umpendae au ulishapindua meza
ID's hazina uhalisia wowote
hizo nguvu za kumwaga angalia usijemwaga ubongo
Hahahahaha,naomba nilipe hiyo bill ..km wana lipa kwa namba nipatieNina peps yangu pembeni π
Akaaa nitake radhiWewe ndio ulikuwa muasi??