Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 21,708
- 51,120
We kikiwa tayari tu niambie nikupe location bolts atahusika,waaminifu waleHahahahaha...sasa dereva wa Piki analeta ulipo
We kikiwa tayari tu niambie nikupe location bolts atahusika,waaminifu waleHahahahaha...sasa dereva wa Piki analeta ulipo
😂😂😂😂😂😂😂😂!Ww mganga fake 🤣🤣
Coca tu umeshindwa kumdhibiti mpk anachukuliwa na kina kirikou Fabian Vitus 😂😂😂 ndo utaweza kunirogea yule jamaa??
😂😂😂😂 ww tulia kwanza afike
Kwann mnaongeza Chumvi?
Mnywani aje, awe na taarifa. Our best is occupied....Jimbo limerud
HahahahahahaHahaaa
Lipa no ipo Kwa karibu wangu Lamomy ,huyo ndo anapokea boss😅😅
Nini tena,mama?Seriously 😰?
HahahahahahaWe kikiwa tayari tu niambie nikupe location bolts atahusika,waaminifu wale
Kabeeeeeesa!Kila la heri kwao, mapenzi matam sana mkikutana mnaopendana kwa dhati.
Kumbe mambo ndio yapo hivoKuhusu wadada hawa wazuri na wenye kazi nzuri au hela wananjia zao zakuwachukulia wenzao nyota.
1. Kwa kukualika nyumbani ulale.
Wanakushtukizia hujajiandaa kwa hiyo unatumia vitu vyake .mf. khanga yakuogea ,nguo zake na pia hata ndala na viatu vyake .
Usiku nakuja kichawi anakukata nywele ,kucha , nywele za sehemu zote .
2. Kukupigia simu kila ukitarajia jambo lako halafu wewe unakosa hilo jambo lako yeye analivutia kwake. Kila mara . Unakuwa hivyoo.
3. Wengine wanakuja kwako wanaiba nguo za ndani,nguo za kawaida ,chana ,wanaenda kuhamishia nyota yako kwao wanapatia kazi , na waolewa pia kupitia wewe na mambo yako yanakwama ndio hivyoo
😂😂😂😂 Humu leo kumechachuka mno
Hivi we uko wPi Saint Anne
Ukiona yanakwama kuna mtu anavitu vyako hawezi kukuloga kama hana vitu vyakoKumbe mambo ndio yapo hivo
Mungu atusaidie sana,Mimi nilikuwa najua maranying mambo yanakwama pale unapomwambia mtu mafanikioyako wengi Huwa hawapendi kumbe had nguo wanabebakwaajili ya mamboyao binafsi
Shalom shalomShallom wizo
View: https://youtu.be/XoiOOiuH8iI?si=ASl9gYfHW3tkIIwF
I like that babe slow deep and harder 😌
Smart911
Haya bwana.Hata nilivyokuambia nimekosea
"ilipaswa ninyamaze,nipotezee"
Nikisema nakuwa nakufedhehesha zaidi si wewe hata mimi pia najifedhehesha,kila binadamu ameumbwa tofauti kukabiliana na jambo.