Loving you Mahondaw

Shida yako tu,unataka niwatukane matusi JF ladies waliopo kwa kukufananisha nawe.

Unanipatia dhambi wazi wazi,kwanza una kesi yako "ya mimi kupewa vitisho na vijana wa JF"
Hapana wamekuiba tayariπŸ˜•.

Hao wanaokupa vitisho waambie washindwe na walegee. Kwanza hata siwajui😰
 
Hapana wamekuiba tayariπŸ˜•.

Hao wanaokupa vitisho waambie washindwe na walegee. Kwanza hata siwajui😰
Wataniiba vipi na hawanijui,wewe wanakujua huko,tena vizuri tu.

Sio utani(inabidi unieleze hili jambo,kwanini napata maswali yako private?una agenda gani na hawa watu?)
Nitakutafuna hayo macho,na vile siwezi kufaidisha watu tu hapa kwa malalamiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…