Loving you Mahondaw

Hapa Mahondaw ingekuwa pisi ya Arusha ungesikia "Acha kunifunga mota jombii"
 
Hakii nakugawa Lamomy! Wee ni mwehu ujue!
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Mambo Yao tuwaachie wenyew [emoji3][emoji3]

Sema nimeamini mwanamke anaweza hata kumuua mwanamke mwenzie kwaajili ya mwanaume very simple
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapana chezea UBOO, hii kitu inasimama dede na haina miguu, inafanya mtu utamke usiyoyajua, wekaa mbali na wahitajiii.

UBOO na uheshimiwe. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…