Manake cheke kwanza๐๐Kabisa mkikosana kidogo anaanza kubebishana na wengine humu
HahaaaRaha ya mapenzi Mwanaume akuheshimishe mbele ya watu sio leo yuko na yule kesho kabanwa na upwiru karudi kwako ๐๐๐๐
We dada ake na Mr Dell, mbona ukoo una vurugu๐๐คฃUna hoja,usipuuzwee, uzingatiwe.
Aamin Aamin babu senkyuuuu!Very interesting story on how you two guys met...
You made a very unique Couple over here.
Few couples came and gone, but yours still alive.
People might talk and sneering at your back, but never lose focus
On behalf of all Old men here and there, we wish you all best of luck ๐
Leo waki kuzingua, naku tetea chap๐Manake cheke kwanza๐๐
Hizi hazikuiva vizuri mwaliKwakweli hayo ndo mambo yetu haya niambie kutengene za peanut butter nzuri nifanyaje nilisaga karanga zikasagika zikawa kama unga hazijawa na rojo kama inavokuwa vile
Ukweli mchunguAllah atujalie wanawake tuwe na uwezo wa kujitambua.
Mwanaume ukiachana nae na ukamchafua huwa anapanga kisasi. Atafanya chochote mrudiane ili wewe uliyetumika kumchafua utumike pia kumsafisha. Kama usipokuwa na akili utaona kilichomrudisha kwako ni mapenzi kumbe karudi kujishafisha dhidi ya uzushi ulizomzushia kipindi alikuacha.
Hamna mapenzi hapo, penzi likifa limekufa utalazimisha liendelee kuishi ila mambo hayawezi kuwa sawa kama ilivyokuwa awali. Huyu akimaliza kujisafisha juu ya kusambaza STDs kwa baadhi ya ladies humu ataondoka ikukuacha ukiwa hauna njia nyingine tena ya kumchafua.
Amefanikiwa kukufanya umeze matapishi yako.
Halafu hamna upendo kwenye kutukanana. Mwanaume akikutukana ni udhalilishaji na ni kwa sababu amekudharau. Na akirudi kukuambia anakupenda ni kwa sababu anataka aone kama una akili au bado ni mjinga. Usiruhusu dharau kwa kigezo kwamba ndio mapenzi yenyewe. Mtu anayekupenda akakulinda na kukuheshimu.
Abeeeeh shangaziii, namuitaa bwana harusii,Aunt wewe mkorofi
Leo bora uishiwe damu ila sio bundleUna hoja,usipuuzwee, uzingatiwe.
Kuna kitu unatafuta nakuona toka jana
Bwahahahahahah!Wajanja wameitumia, fala karejeshewa
Kumbe eeh kweli hqvikuw za brown nilisaga Na Ile Brenda ya kusagia vitu vigumu na vikavuHizi hazikuiva vizuri mwali
Zinatakuwa ziwiveee ziwe brown halafu utie chunvi kidogo ndyo uzisage zinalainika
Wewe ulisaga na nini?
Kwisha bariaWw mganga fake ๐คฃ๐คฃ
Coca tu umeshindwa kumdhibiti mpk anachukuliwa na kina kirikou Fabian Vitus ๐๐๐ ndo utaweza kunirogea yule jamaa??
Kuna mtu wa kunizingua humu kwa mapenzi ya kihuni kwanza wameoana ๐๐๐Leo waki kuzingua, naku tetea chap๐
Eeeeeeh ndiwooooooo!!!Aamin Aamin babu senkyuuuu!
That's what means by unconditional love!
No matter the challenges no matter the obstacles , the circumstances unamsikiliza mwenzio na kumuelewa kuvumilia madhaifu yake na to support each other!
Forever and always!
Sio ndugai mtake radhi pulllllllliiiiiiiiizzzzz!!
HahahahahaUna hoja,usipuuzwee, uzingatiwe.
Inshallah Mola atupiganie atutetee kwakweli majaribu ni meengii sana!Na ikawe Kheri Kwenu Asee!!
My khabity, haya leo ume chachuka๐Kuna mtu wa kunizingua humu kwa mapenzi ya kihuni kwanza wameoana ๐๐๐