Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,476
- 96,936
Hlyaani uki guswa hauitaki interview ya kuji tambulishaπ€£πHaha. Kuranduka.. yan unakuwa kama mzima, afu kumbe sio mzima kwenye audience.
HayaaSamahani dada Maua, ila kuanzia leo WiFi yako ni Nuzulati ππ
Siamini naweza kupata mwenza serious kupitia mitandao ya kijamii.Hata ikiwa kweli shida iko wapi?? Utamfanya shem ajitupe ajue hauko serious naye πππ
Mi nawajulia hali ndugu, jamaa na marafiki kwani kuna ubaya??
ππππNitakujibu kesho π€£π€£π€£π€£π€£
Ila naona ss niende china tuπ
Nahii avatar nilioweka babe akee kimimi huwa anailavuuu kinoumaaa π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€ π€ π€ π€ π€ π€ π€ π€!!jamani nawee uwaite wake wenzio, muone bi mkubwa wenu akiwachachafyaaaaa, na anawarushaaa roho balaaa.
Au zamu yenu yaja, maana mume wenu heka heka anaziwezaaaa.
Huyu mahondaw anamuwekea cc, wee mnawekana avatars,
Wengine anawaahidi kuwapa ajira, wengine anawapeleka the Elements masakiii, mwingne anaenda nae ofisini na Gym.
Woiiiiiiiiih
π€£π€£π€£ leo leoNitaenda china.
Naomba nilaleπ€£π€£
Yaan leo JF iko winja winja,Ila jmn
Kuna siku jf kunakuwa kutamu
Kuna wakati kunaboa
Kafosi mambo Pemba πππUvumilivu Hana huyu atatoboa kwenye ndoa huyu
π€£ππππ, Uzi utapata tuππ€£Halafu wala si kweli tunazinguana tu jukwaani mimi sisubutu kutoka na mtu humu,Wanao weza kama hao wana anzishiwa uzi wa kusifiwa πππ
Teeeenaaa!!! π€£π€£π€£π€£jamani nawee uwaite wake wenzio, muone bi mkubwa wenu akiwachachafyaaaaa, na anawarushaaa roho balaaa.
Au zamu yenu yaja, maana mume wenu heka heka anaziwezaaaa.
Huyu mahondaw anamuwekea cc, wee mnawekana avatars,
Wengine anawaahidi kuwapa ajira, wengine anawapeleka the Elements masakiii, mwingne anaenda nae ofisini na Gym.
Woiiiiiiiiih
Sisi jeifu kuntu sikia yakhe id hii ni moja sijui nimapenziKafosi mambo Pemba πππ
Sitaki kuanzishiwa uzi ππππ€£ππππ, Uzi utapata tuππ€£
ππππBi mdogooo huna bayaaa,
Usipokuwa online tutakupataje mahi?? Si unajua mods hawachelewi kufuta uzi.!! Nipe maswali magumu matatu nikutunzie incase usipokuwa active nimpe
Sisi wote watoto wa Mello lazima tujuliane hali, na ukichukulia wanawake πππnyie mie kesho nitaulizwa na neibazi, so kwa kuchekaa huku afu kwanguvuuu sasa.