Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,489
- 96,955
Sina , your are the only oneπ€π€Mimi nishakwambia kanuni yangu ni moja nikisikia,nikihisi,nikijua una baby humu mimi na wewe kushineiii,Mapenzi ya nenda rudi siwezi ππ½ββοΈ
Uolewe sasa na wewe shosti yangu πππHunificha hunificha....
adui hatanipata...
Hunificha hunificha....
Mkononi mwake.....
Zaburi 51 someni.....
Muwe na usiku mwema
Nyie subirini kwanza basiiiI only love you, my πππ
SI Mana semaga kuchachukaππ€£Kuwaka ndio kufanyaje? Mbona niko nimelala tu hapa, giza ni kali.
Nataka kulala hebu niache π€£π€£π€£π€£πππUolewe sasa na wewe shosti yangu πππ
Jimbo langu hili halafu mtu ajisogeze namtoa kalio ππSina , your are the only oneπ€π€
π€£π€£π€£Nyie subirini kwanza basiii
Jamani si na sisi tuna share upendoππ€£π€Nyie subirini kwanza basiii
Mi siongeagi mengi Wizzy mwenyewe anamaliza kila kitu π€£π€£π€£Ila na wewe unajizimaga data penzi likinoga,,sema ni vile shemeji namkubali miaka buku..,,Yuko wapi kwanzaπ€£π€£π€£
Hahahaha jeiefu banaa!Tuambie tukusaidie kucheka
Shosti yetu anatuaga na katenzi ka TUFANI INAPOVUMAπ€£π€£@haya barikiwa mama m hungaji Tayana-wogUolewe sasa na wewe shosti yangu πππ
Kafungueni uzi wenu hapa tupo na muongozoJamani si na sisi tuna share upendoππ€£π€
USA πΊπΈ tunaenda πππNataka kulala hebu niache π€£π€£π€£π€£πππ
Haya nitafutie wa kunioa mie
Maana kila mtu na baby wake na mimi nimeweka ulinzi kwenye himaya yangu πππWacha nifurahi miye πππ
Mwaka mpya na mambo mapya
I belong to youπ€π€Jimbo langu hili halafu mtu ajisogeze namtoa kalio ππ
Ma mchungaji mi nampendaga mpole shoga angu, yy kucheka tyuu km mimi πππShosti yetu anatuaga na katenzi ka TUFANI INAPOVUMAπ€£π€£@haya barikiwa mama m hungaji Tayana-wog
Mama mchungaji Mimi mwenzio humu maumbea yanipitaga sana,hata kipindi mmefukuzwa selfika nilikuwa naona mauzauza tu hata sielewiii Mimi nikiingia MMU nachambana na wakaka wabahili basiii...huwezi amini Huyu mahondaw alisema kabesaaa ndio nikajua kama ni Antonia...
Nitakujibu kesho π€£π€£π€£π€£π€£USA πΊπΈ tunaenda πππ