Baby al never give up on you.Ww mganga fake π€£π€£
Coca tu umeshindwa kumdhibiti mpk anachukuliwa na kina kirikou Fabian Vitus πππ ndo utaweza kunirogea yule jamaa??
Mmeanzaπ
Kwakweli bora wamepotea tu.amani imetawala.tuachane na yaliyopita tugange yajayo.Hakuna pamepoa sana watu wapo busy sana wengi wamepotea humu.
Siunitag hata nilalena jamboHawa ni kweli na kulikua mpk na mpambano wa kugombania huyo mwanaume.!!
We nawe uko wapi??
Acha tyuuu!! Kutesa kwa zamu πππHahahahahaha..kwahy kuna walioshindwa saa hz wanasoma namba tu ?
Hatambi yeye ni njemba ndo imeweka silaha chiniKwa msioelewa ngoja niwasamaraizie msipitwe na udambu udambu, unajua wambea hatunyimani ubuyu!!
Iko hivi baada ya penzi la Mahondaw na Smart911 kusumbua sana miaka iliyopita, wakatokea waasi wakapindua serikali ya chama tawalaβ¦..ikaenda vurugu ya hapa na pale chama tawala kikijitahidi kurudi madarakani lkn wapinzani wakagoma.!!
Bibie akaona isiwe shida akaingia chimbo kujifua, uko ndio kaibuka na mabomu kasambaratisha waasi wote πππ
Sasa hivi karudisha uongozi wake anatamba km hivyo.!!
Hajamboo sana sema hukuwepo siku mingi ila anawasalimia wote wanaonipendaKwakweli bora wamepotea tu.amani imetawala.tuachane na yaliyopita tugange yajayo.
Shemeji yetu hajambo?
Hahahahahaha kuna yule aliweka avata ya mchizi hivi yupo ? au anajipangaAcha tyuuu!! Kutesa kwa zamu πππ
Mtu kashika simu anawarusha roho na ID ya mutu mnaanza kuandikuana mnaninyima umbeyaAcha tyuuu!! Kutesa kwa zamu πππ
Hadi wewe unaninyima ubuyuHahahahahaha kuna yule aliweka avata ya mchizi hivi yupo ? au anajipanga
Pasua kichwa wapo humu pia, be carefulKuanzisha mahusiano humu ni sawa na kubeti moyo yaani lolote linaweza tokea π
Anawarusha roho wenzakeHatambi yeye ni njemba ndo imeweka silaha chini
Au unataka kusema hii simu kashika jenero in chajiπ
Anakomment chini ya mwamvuli waπ
Wazee hizi Mvi zinatusaidia mengi π€Naaam, namimi nimeunga mguu hoja
πππ Kajificha kwenye kona anachungulia kwa mbaliHahahahahaha kuna yule aliweka avata ya mchizi hivi yupo ? au anajipanga
Ntafute kesho nikupe πππMtu kashika simu anawarusha roho na ID ya mutu mnaanza kuandikuana mnaninyima umbeya
Shogaangu punguza umbea π π πKwa msioelewa ngoja niwasamaraizie msipitwe na udambu udambu, unajua wambea hatunyimani ubuyu!!
Iko hivi baada ya penzi la Mahondaw na Smart911 kusumbua sana miaka iliyopita, wakatokea waasi wakapindua serikali ya chama tawalaβ¦..ikaenda vurugu ya hapa na pale chama tawala kikijitahidi kurudi madarakani lkn wapinzani wakagoma.!!
Bibie akaona isiwe shida akaingia chimbo kujifua, uko ndio kaibuka na mabomu kasambaratisha waasi wote πππ
Sasa hivi karudisha uongozi wake anatamba km hivyo.!!
Weeee mwenye ile picha ya jamaa kabeba viti vingi aipost hapaNo one understands you as I do Smart!
Mi Amor uuuuuu babe wanguuuu (Hii code mix sasa ππ€ )
Tutagombanaaa tutatukananaaa mwisho wa sikuπππππ nyieeee true love never die