Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,123
- 62,114
🤣🤣🤣🤣🤣!
Weee miezi mitatu tutambemenda mtoto weee!
Afu nilivo na damu nzuri wakike wanakua kama waarabuuu😛😁😁😁
Weeeee tutake radhiii pulllllllliiiiiiiiizzzzz!!!Hizi lugha za kitapeli hizi, ndio zinazowafanya wanaume wengi wanasahau walikotoka; mzee wa muongozo shtuka mapema 😀 😀 😀 , usipokuwa makini, unaweza kujikuta una suruali moja tu, fua kauka nikuvae.
Sisi tunasubiri muongozo tu 😀Weeeee tutake radhiii pulllllllliiiiiiiiizzzzz!!!
Hata bila kumtegemea smart ndo nishindwe hata kumnunulia nguo Smart911 wanguu mfyuuu!☺️
Hizi lugha za kitapeli hizi, ndio zinazowafanya wanaume wengi wanasahau walikotoka; mzee wa muongozo shtuka mapema 😀 😀 😀 , usipokuwa makini, unaweza kujikuta una suruali moja tu, fua kauka nikuvae.
Miongozo forever and always ✌️✌️✌️✌️✌️🕺Sisi tunasubiri muongozo tu 😀
Atatuletea mrejesho 😀 😀Wee acha zakooo unataka Smart anitooo mpaka nizime mimi akili zake siiiooo 😁!
Mjini shuleHawa si kuna kipindi walizinguana kisa Mwanamke Sijuialikuwa mke wa mtu mwengine halafu huyu smart hakulijua hilo??
Ndo haoo haooooooo! Hawa mambo yao wanajuana wenyewe!Hawa si kuna kipindi walizinguana kisa Mwanamke Sijuialikuwa mke wa mtu mwengine halafu huyu smart hakulijua hilo??
Ndo haoo haooooooo! Hawa mambo yao wanajuana wenyewe!
Umenikumbusha kitu kimoja, kuna mzee mmoja alikuwa mbogo kweli akiwa nje, akiingia ndani alikuwa anapewa majukumu ya kazi za nyumbani na anakuwa hana sauti, vipi ulishawahi kusikia kitu cha namna hii? Na ni kitu gani kinachosababisha hiyo hali?
Hivi ni kweli jf watu hua wapenzi mpaka kukutana live??
Suluhisho hapa ni watoto wanaofuatana tu, unakata mti unapanda mti 😀Kwamba mzeiya katulizwa na shuntama?? ?? 😁😁😁! Weee mwehuu kwel Mi na smart mile daima mtasema mtachoka 😁!
Kwa taarifa tu Hata tukigombana hatuachanagioooooohhh🤗🤠!( In Nigerian voice)
Tunakimbilia wapii weee hebu chaliii akuekue kwanza walau mwakanii !Suluhisho hapa ni watoto wanaofuatana tu, unakata mti unapanda mti 😀
Sahihi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa waja hebu semeni mnataka nifanyejee? Wenyewe wameamua kurudianaa, niwasapoti tyuuh
[emoji849][emoji849][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]nyie Kweli mapenzi hayaingiliwi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ila Wewe mahondaUweeee sema kweli ???[emoji1783][emoji2960]!
Sikuhizi amefurahi na amechangamkaaa balaaaa!
Nafurahi sana kumuona smart akiwa amefurahi kiukweli!
Ngachekaaa mimiiiiiii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤭!Siwezi kuhukumu ila naomba kuuliza
Si umeolewa ?au umeachika?au msimbe kama Wengine tu?
Kama umeolewa afu unazini nje baasi unakosea ila Kama sio na smart ndo chaguo lako muambie akuoe Kabisa usikubali kuchezewa shere humu jf
Wanaume wa mjini hapa janja Janja nyingi Sana ,take extra cere tread careful
Am noo one to judge you maana hata sisi tunaachwa na tunarudiwa ila wewe ni mtu mzima check both sides ndo uingie mchezoni
Kila la kheri