Loving you Mahondaw

Ni siku na wakati mwingine wa kuja kukesha hapa kwa Smart na Mahondaw. Kama tulivyoahidiana tupo pamoja hadi uzi utakapofika mwisho.

Nitulie sasa nianze kusoma nilipoishia jana
 
Muda wa kunywa dawa umefika, unajua bado hujapona.!! Halafu yameshaisha sisi ndugu hatugombani.! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Dah. Bora sasa mko pamoja na Kantri . shem moyo umefurahi mimi na mwenzangu tutawaalika dinner party weekend hii[emoji3][emoji2089]
Aimen πŸ™
Wizzy Countrywide tuna mualiko wa dinner huku, Omulasil ana jambo lake sijui anataka kututambulisha nani kaukamata mtima wake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…