Mie nilijikita hapo kwenye haijawahi kuwa tatizo nikadhani utatupia salio ili uonekane wewe ndio wewe wengine hakunaaShida yako unasoma huku upo uchi😂nimesema "Hela Sina ila haijawahi kua tatizo"
Kwani jf Hela ni muhimu🤔si nliona price tag ya utelezi humu mi 30k Lamomy
Nshavuka hzo pigo za kihayaMie nilijikita hapo kwenye haijawahi kuwa tatizo nikadhani utatupia salio ili uonekane wewe ndio wewe wengine hakunaa
Basi sauwaa
Pigo za kihaya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!Nshavuka hzo pigo za kihaya
Nafanya nao Kazi kila siku nshawazea wala senene hawa😂Pigo za kihaya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!
Omba usiishi nao / kufanya nao kazi Alooooooohh 🙌!
Sasa na wewe unafanya nn hapa lakiniHahahahaha
Ishi na makabila yote ila sio hawa watu kiukweli!Nafanya nao Kazi kila siku nshawazea wala senene hawa😂
Siruhusiwi ? HahahahaSasa na wewe unafanya nn hapa lakini
Ukiulizwa unachofanya utajibujeSiruhusiwi ? Hahahaha
Hahahaha,dahUkiulizwa unachofanya utajibuje
Acha masihara basi, kwani bado tu??Hii positivity 👏🏽👏🏽
Bado mimi dada yako nikutambulishe kwa the love of my life, kaka mzuri…
Sijui itakuwaje?
Tuombe kheri.
😂😂😂😂 Wanataka kupata unafuu wa maishaKwamba watu wakijua mwanaume fulani anazo humu analo!!
Hahahahahaahahahah!
Namba E zina yutiai kali 🤣🤣🤣🤣Saiv sitaki tena ntakula namba E & sajili mpya za kule kijiweni mpka nizeeke
Namba E ni mwendo wa kuzivalia mpira...afu hata hawapo fertile kama nyie mabinti wa 90'sNamba E zina yutiai kali 🤣🤣🤣🤣
Bwana eeeh, bado bwana ila shemeji wa ukweli nimeshakupatia subiri tu utambulisho.Acha masihara basi, kwani bado tu??
hahahahahaha..Bwana eeeh, bado bwana ila shemeji wa ukweli nimeshakupatia subiri tu utambulisho.
Na shemeji mwenyewe kama una kumbukumbu nzuri mlisigana back in the days 2014, ukamsababishia ban yake ya kwanza 😀😀