hakuna cha handeni wala sumbawanga! ukaguzi wake tu na viwango vyake baaaaaasssssssiiiiiii! lolkawapiga misumari asprin,ndo mana haishi kwenda handeni kila kukicha.
vitu mnavyopeana sio hivyo... ni hivi hapa.View attachment 61330
Chezeya sisi huyo?
hakuna cha handeni wala sumbawanga! ukaguzi wake tu na viwango vyake baaaaaasssssssiiiiiii! lol
Njoo kwangu nikusafishe nyota....aaaah! mnatuogopea we si ndio ulisema niende kwa sangoma diamond akanisafishie nyota?sasa huyo sangoma umemjuaje kama huwa hamuendi familia nzima?
Hahahaha! Mijamaa inang'atana midomo asee!
Hebu twende PM ukanipe siri ya utamu wa hiyo nyama.... Nimetangulia nakusubiri. Ole wako usije!nyama ya ulimi tamuu wewe!!
Njoo kwangu nikusafishe nyota....
Hebu twende PM ukanipe siri ya utamu wa hiyo nyama.... Nimetangulia nakusubiri. Ole wako usije!
Hahahahaha...sikwendi ng'o!unataka unioganishe kwenye mtandao wako aka....
Bishanga nilikwambia nini hapo awali..Unajua afrodenzi ule mkongojo uloninunulia ushapinda? hebu kam zis wei nikunong'oneze jambo baba..... si wajua ya kale zahabu??
Ndoo hivyo tena Bishanga .
huyu babu matata, na kusaidia hatuachi sijui ana sumaku gani..
siwajua tena Asprin dawa chungu lakini inatibu mengi..
sisi wa zamani tumesha temwa sasa ni kumarishwa tu
"lete mkongojo, mara umepinda, ooohhh nataka unisugue kiuno, sijui miguu imekufa ganzi mmmmhhh"
nasi tunasema "YES BABU" kwa kila kitu..
Nachokupendea unayajua mahitaji yangu. Si unajua nshazeeka kusoma tena siwezi? Nletee ya kuwakagua afu nawewe uje unisaidie kuwashika miguu.
Tena nimeimisije sasa :lalala:hahahahahah babu acha hivyo bana sasa utanifanya πhone:πhone:....