ki ukweli mie napenda sana swaga zake lakini mambo ya malovee no kwani tayari nimeshashumbiwa af ni kama ana mfumo dume kwa hawa dada.
afrodenzi,una memory ni hatari.babu ana date kwa msimu..
spring, winter, autumn na summer.
samahani wpendwa mlio kwenye rada ya babu
wakija wengine, wapya wanaohitaji kukaguliwa mtatemwa tu ..
ujumbe kutoka kwa mjukuu wa zamani .......
kwenye list ya babu kulikuwa na Mwanajamiione, Dena Amasi, maria Roza, Rose1980, Blaki Woman, Michell, Lizzy, afrodenzi, Preta, Wos, Maty, BelindaJacob, Nilham Rashid, First lady1, dahhhhhh na wengine wengi..
Ni hivi msimu wako ukiisha una step down ..
na kazi yako ni kuleta ugoro na mkongojo , hao wapya ndio
wanabaki hapo pembeni ya babu ..... "Mzunguko tu " au vipi babu Asprin
Unajua afrodenzi ule mkongojo uloninunulia ushapinda? hebu kam zis wei nikunong'oneze jambo baba..... si wajua ya kale zahabu??babu ana date kwa msimu..

tumpige chini utatuoa weye?? ukaguzi unauweza au utatupekua tu!sio kwamba mum pige chini mumuache aendelee na Ummy?
tumpige chini utatuoa weye?? ukaguzi unauweza au utatupekua tu!
unaomba niachike, na nikiachika jiandae kunioa! nataka unipeleke miami nikakae na muke ya mudhungu!
poa tu mkuu. unaendeleaje na Cantalisia? mia
kawapiga misumari asprin,ndo mana haishi kwenda handeni kila kukicha.
Thubutu na pembe tatu yenu hukohuko subiri kumwagwa hamna wa kukuzoa
Ukiona wake wenza wanapatana hivyo ujue mume wao ni joka la kibisa na kati yao hakuna anayemuonea wivu mwenzie kwa kuwa wanajua hamna cha kufaidi zaidi ya matatizo, kile kibabu nlishasema hamna kitu mle,wanakilia tu vijihela vyake,Cacico shahidi
hahahahaaaa...siku hizi hujui watu wanamiliki nyumba ndogo?. miaCantalisia tena una utani na Rejao wewe
bora ulivyotutetea! nimekupenda bureeeeeee!una hakika na maneno yako mkuu???
nakupendaje zaidi sasa??
na mtangoja sana nimwagwe! siachwi ng'o! The secretary mzima weye?Thubutu na pembe tatu yenu hukohuko subiri kumwagwa hamna wa kukuzoa