Love story (True story)

Huyu faiza siyo mzima kabisaaaaa.
Ana bacteria kwenye kibichwa chake haaa
ila fundisho kwa wanaume muwe mnaangalia wanawake wa kulala nao na kuzaa nao...
Haaaaa too much sasa au ndo kidonda cha kuachwa anakipoza
 
Huyu faiza siyo mzima kabisaaaaa.
Ana bacteria kwenye kibichwa chake haaa
ila fundisho kwa wanaume muwe mnaangalia wanawake wa kulala nao na kuzaa nao...
Haaaaa too much sasa au ndo kidonda cha kuachwa anakipoza

Mi natamani kujua umri wake
 
Mi natamani kujua umri wake

Kazeee kale si wakaona kamekomaa...
Kameshakaa uchinani life imempiga amerudi...
Halafu namanga duka lake lipo sehemu gani?
Yaani hakutegeemea kama angezaa na sugu.
Kweli ushamba mzigo lol
 
Nashukuru maana Honey Faith hajawahi kinitambulisha nasubiri watoto walale maana Epson inayofuata ni ya wakubwa tu.

Nikutambulishe kama nani katika familia yetu?Waliokaribu na mie mbona hawaulizi maana wanatujua wanandugu.Muulize Khantwe akupe muhtasari wa familia yetu ili siku nyingine usijeukakosea
 
Last edited by a moderator:
Kazeee kale si wakaona kamekomaa...
Kameshakaa uchinani life imempiga amerudi...
Halafu namanga duka lake lipo sehemu gani?
Yaani hakutegeemea kama angezaa na sugu.
Kweli ushamba mzigo lol

Hahahaa hajui kama anajidhalilisha hata yeye....mi sijuagi hata mishe zake
 

Angalia lakini usije ukamdondokea kaka yangu maana kwa huo mzigo unaweza mvunja kiuno
 
Mbona katumia lugha rahisi sana,amesema amezoea kutongozwa kistaarabu,sasa jiulize kwanini asitoe kwanza story za hao wastaarabu akaanza na huyu?,na hao wastaarabu wake kwanini walimtema/aliwatema?

Maswali ya msingi haya
 
Duh..mheshimiwa ana kazi maana inaonekana tutajua mpaka walivyokuwa wanamtengeneza mtoto wao.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…