Principessa
Member
- Mar 5, 2009
- 47
- 5
- Thread starter
- #21
nikimpata mpole kama wewe raha sana.
wale wale
nikimpata mpole kama wewe raha sana.
Hobbie gani hiyo ya kuchat na wanawake?... Mwambie huipendi hiyo tabia na kama anakupenda kweli atakusikiliza/ataacha. Anayempenda mwenzie hawezi mkwaza kwa chochote!ndio kwanza tuna mwaka na tuna mtoto mmoja.hajawahi kunionyesha kuwa amenichioka,na nikiri kwamba ananipenda na kunijali sana.ananipa kila kitu kwa kadri ya uwezo wake,weekends kama haendi chuo basi huwa anashinda nyumbani,hajawahi kuilala nje na anajali familia. hata sakramenti ya ndoa iko pale pale tena hatupitishi zaidi ya siku tatu,atalalamika nisipompa. sasa sijui ni hobbie aliyonayo au ni nini?
Na mimi nakulia timing nikamate za kwako kwenye hiyo simu yakoHobbie gani hiyo ya kuchat na wanawake?... Mwambie huipendi hiyo tabia na kama anakupenda kweli atakusikiliza/ataacha. Anayempenda mwenzie hawezi mkwaza kwa chochote!
Hahaha! Sio rahisi unikamate!...huwa nazidelete fasta....mimi sasa ole wako nikute sms kwenye hiyo simu yako!...lolNa mimi nakulia timing nikamate za kwako kwenye hiyo simu yako
Asante kwa kunikumbusha ngoja nizifute kabisa, tena ngoja niipeleke simu kwa fundi kwa ajili ya kui-format...lolHahaha! Sio rahisi unikamate!...huwa nazidelete fasta....mimi sasa ole wako nikute sms kwenye hiyo simu yako!...lol
Hahaha! Ahsante kwa kunijali asee, nimekutisha nijue kama bado upendo upo au umeanza kupungua....nimegundua bado wanipenda na kuniheshimu!..zifute na uhakikishe unaacha huo mchezo wako wa kuchat!..Asante kwa kunikumbusha ngoja nizifute kabisa, tena ngoja niipeleke simu kwa fundi kwa ajili ya kui-format...lol
ndio kwanza tuna mwaka na tuna mtoto mmoja.hajawahi kunionyesha kuwa amenichioka,na nikiri kwamba ananipenda na kunijali sana.ananipa kila kitu kwa kadri ya uwezo wake,weekends kama haendi chuo basi huwa anashinda nyumbani,hajawahi kuilala nje na anajali familia. hata sakramenti ya ndoa iko pale pale tena hatupitishi zaidi ya siku tatu,atalalamika nisipompa. sasa sijui ni hobbie aliyonayo au ni nini?
Shikamoo dada!Achana na simu yake kweli.
Wewe ukigundua za kwake unavumilia, yeye anasema siku akigundua za kwako atakuua, huoni kama hiyo ni sababu tosha ya kuhama hapo? Au unasubiri mpaka uuliwe ili upate ushahidi kamili? Mwendo mdundo mdogowangu, piga lapa!kwa kifupi mimi sifurahii,na inaninyima raha kabisa.sina raha hat ana ndoa yenyewe maana siamini kile mume wangu anachoniambia...nikimwambia ingekuwa mimi angefanyaje ananiambia ataniua...
Shikamoo dada!
Sishikagi dada, yeye mwenyewe shahidi, akija atathibitisha hilo!..marhaba mdogo wangu. Usishike simu ya vin diesel
Hii imekujaje kwenye hili sredi?Katika hali isiyokua ya kawaida wimbi la wasichana wanaonipenda linaongezeka hususani tangu mwaka jana. tofauti na awali hususani nikiwa masomoni. Hii inanipa wakati mgumu sana kwani hivi karibuni dada mmja wa banki naye alining'ang'ania bila mafanikio akionesha hisia nzuri na za wazi.Bahati nbaya mie ni mgumu pia.La kushangaza pia kuna dada mmja alimkomalia kondakta amkatie siti iliyokaribu nami na alifanikiwa.Nilimsoma na alionekana kuwa angependa kuzungumza mengi nami.kwa bahati mbaya pia sina maneno mengi kwa wadada na wengi husema nina macho mazuri na sauti nzuri. Mie naogopa kukitoa kwani nasikia ukianza vichanganya inakua ni shida tupu!. Kuepuka usumbufu mara nyingi inanibidi nisitoke na nitokapo tuu nikikutana na dada huwa radhi kuniambia HB ee twende upate hata soda just a company.it is now frustrating me. Ur advices pls!.Sio najisifu ila kwa wengi ninaonekana nipo nadhifu sana and active one
Mhhhh!!!marhaba mdogo wangu. Usishike simu ya vin diesel
Husni anaheshima ati...Mhhhh!!!