Love messages

Pole mwaya,naomba nikushauri kitu ambacho najua wanawake wengi hatukipendi japo ndio ukweli,kama anakujali,anakupenda anajali familia,hunyanyasiki kwa lolote,mda wake anautumia na ww kila napokuwa free,hebu jaribu kuacha tabia ya kuchunguza simu yake na usimuulize chochote kuhusu hayo mambo ya sms za mapnz,kwan hata km ni mhuni hawezi kuwa na wanawake tofauti kila wakati,na jitahidi ktk hili usikurupuke, km unataka fanya uchunguzi taratibu tena kwa akili upate ushahidi wa kutosha coz kuna watu wengine wanakuwa na hobi tu ya kuchati na warembo kwa sms au mitandaon lkn wala hawana mpango wa kutoka nao,na ili uishi kwa amani kaa mbali na simu yake,jiamini wewe ndio akupendaye kuliko wote ndio maana akakuoa,na km tujuavyo akiamua kutoka hutaweza kujua coz anaweza asisave hata namba ya cm ya huyo hawara yake,cha msingi tulia, ongeza upendo,mpe mambo adimu na utoe fikra za kuibiwa km ni mwelewa na anakupenda kweli akiona mabadiliko hayo ataona haya mwenyewe na ataacha hata km ni hobi.
 
ndio kwanza tuna mwaka na tuna mtoto mmoja.hajawahi kunionyesha kuwa amenichioka,na nikiri kwamba ananipenda na kunijali sana.ananipa kila kitu kwa kadri ya uwezo wake,weekends kama haendi chuo basi huwa anashinda nyumbani,hajawahi kuilala nje na anajali familia. hata sakramenti ya ndoa iko pale pale tena hatupitishi zaidi ya siku tatu,atalalamika nisipompa. sasa sijui ni hobbie aliyonayo au ni nini?
Hobbie gani hiyo ya kuchat na wanawake?... Mwambie huipendi hiyo tabia na kama anakupenda kweli atakusikiliza/ataacha. Anayempenda mwenzie hawezi mkwaza kwa chochote!
 
Hobbie gani hiyo ya kuchat na wanawake?... Mwambie huipendi hiyo tabia na kama anakupenda kweli atakusikiliza/ataacha. Anayempenda mwenzie hawezi mkwaza kwa chochote!
Na mimi nakulia timing nikamate za kwako kwenye hiyo simu yako
 
Hahaha! Sio rahisi unikamate!...huwa nazidelete fasta....mimi sasa ole wako nikute sms kwenye hiyo simu yako!...lol
Asante kwa kunikumbusha ngoja nizifute kabisa, tena ngoja niipeleke simu kwa fundi kwa ajili ya kui-format...lol
 
Anza tabia ya kumtumia mumeo love message. Inaonekana zinamkuna sana na akiendelea kutumiana na hao wasichana utamkosa mazima. Jitahidi kuwa mbunifu na kumkamata mumeo kwa mahaba mbalimbali. Usibweteke tu eti kwa kuwa ameshakuoa na umemzalia mtoto.
 
pole sana , maadam mwanaume anaonyesha upendo na anakuja kw akila kitu achana na suala la simu na sms hizo kwani tayari zitaanza kukuathiri kisaikolojia na muda mwingi utakuwa unautumia kufikiria njia za kumkamata au kuwajua watu anaowasiliana nao.. la msingi kaa chini ingeza opendo amini ni wewe na jitahidi sana kuwa nae karibu maana ukaribu husaidia sana kupunguza mawazo yasiyofaa..
 
Asante kwa kunikumbusha ngoja nizifute kabisa, tena ngoja niipeleke simu kwa fundi kwa ajili ya kui-format...lol
Hahaha! Ahsante kwa kunijali asee, nimekutisha nijue kama bado upendo upo au umeanza kupungua....nimegundua bado wanipenda na kuniheshimu!..zifute na uhakikishe unaacha huo mchezo wako wa kuchat!..
 
kumbe unapata kilaa unachotakaa tena vizuriii.usifatilie cm yake
ndio kwanza tuna mwaka na tuna mtoto mmoja.hajawahi kunionyesha kuwa amenichioka,na nikiri kwamba ananipenda na kunijali sana.ananipa kila kitu kwa kadri ya uwezo wake,weekends kama haendi chuo basi huwa anashinda nyumbani,hajawahi kuilala nje na anajali familia. hata sakramenti ya ndoa iko pale pale tena hatupitishi zaidi ya siku tatu,atalalamika nisipompa. sasa sijui ni hobbie aliyonayo au ni nini?
 
kwa kifupi mimi sifurahii,na inaninyima raha kabisa.sina raha hat ana ndoa yenyewe maana siamini kile mume wangu anachoniambia...nikimwambia ingekuwa mimi angefanyaje ananiambia ataniua...
Wewe ukigundua za kwake unavumilia, yeye anasema siku akigundua za kwako atakuua, huoni kama hiyo ni sababu tosha ya kuhama hapo? Au unasubiri mpaka uuliwe ili upate ushahidi kamili? Mwendo mdundo mdogowangu, piga lapa!
 
Katika hali isiyokua ya kawaida wimbi la wasichana wanaonipenda linaongezeka hususani tangu mwaka jana. tofauti na awali hususani nikiwa masomoni. Hii inanipa wakati mgumu sana kwani hivi karibuni dada mmja wa banki naye alining'ang'ania bila mafanikio akionesha hisia nzuri na za wazi.Bahati nbaya mie ni mgumu pia.La kushangaza pia kuna dada mmja alimkomalia kondakta amkatie siti iliyokaribu nami na alifanikiwa.Nilimsoma na alionekana kuwa angependa kuzungumza mengi nami.kwa bahati mbaya pia sina maneno mengi kwa wadada na wengi husema nina macho mazuri na sauti nzuri. Mie naogopa kukitoa kwani nasikia ukianza vichanganya inakua ni shida tupu!. Kuepuka usumbufu mara nyingi inanibidi nisitoke na nitokapo tuu nikikutana na dada huwa radhi kuniambia HB ee twende upate hata soda just a company.it is now frustrating me. Ur advices pls!.Sio najisifu ila kwa wengi ninaonekana nipo nadhifu sana and active one
 
Hii imekujaje kwenye hili sredi?
 
Back
Top Bottom