Love melted before my eyes

It was an oversight! Shukrani kwa marekebisho
 


Ahahaha. We jamaa wewe me nimekupenda bureee itabidi uwekiranja wa Money Penny
Asante wangu watu walishazama huku wakajua kweli ingawa story ni true story

Thanks sister ni kweli cpo level hizo,ila pia thamani ya dola laki tano ni billion 10 na zaidi,hata hao wa level ya juu hawahongi hiyo kwa demu aliyelala nae usiku mmoja.samahani kutofautiana nawe

Shemela wangu nikusaidie tu kuwa niliandika alihongwa dola laki 3 sio laki 5
Kwa mwaka 2014 dola ya canada ilikuwa inasoma 1500 zidisha mara 300,000

1500 X 300,000 = 450,000,000 Tsh
Sasa wewe mil 450 unaona nyingii mbona dada zako mjini wanazipata na wanafanya birthday itakuwa na ma tycoons wa Canada?!

Afu dola laki 3 kwa Canada ni hela ndogo sana
Stripers wa clubs America wanaipata hiyo hela ndani ya wiki 1 ya kazi na hapo labda biashara ipo sloooooow sana
 
Thanks sister ni kweli cpo level hizo,ila pia thamani ya dola laki tano ni billion 10 na zaidi,hata hao wa level ya juu hawahongi hiyo kwa demu aliyelala nae usiku mmoja.samahani kutofautiana nawe
Weeee nae si story tuu..kwani kweli..? Mbona movie mnaangalia..embu tupishe huko
 
bonge la stori sema ndo mnatufanya tunapandwa na hisia...Money penny u are good kwa kwel
 
Mbona kimya...mida mamaaaa
 
Jamani poleni sana nimewaweka
Boss wangu kaambiwa nipo huku sijui na mjinga gan watu wasiopenda maendeleo basi nimehamishwa idaraaaa, mikazi mpaka naomba poooo!
Sasa me nitaleta stori asbh na usiku mmenichongea wenyewe mnajijua mnajisoma Mungu anawaona sio vizuri Mungu hapendi

bonge la stori sema ndo mnatufanya tunapandwa na hisia...Money penny u are good kwa kwel
Pole my friend asante sana
Jaman lara 1 ni my sister msimseme vbaya najiskia vbaya sana, nampenda na she's the best yeye ndio ameni inspire kuandika stori Jamii Forum
Msitugombanishe wana familia bure, sumu zenu tupa kuleeeee
Shetani shindwaaaaa, shindrwaaaaaaa na alegeee shetani wa magomviiii

Mbona kimya...mida mamaaaa

Yani wewe ungejuaaa basi tu ungenihurumiaaa
 
nimekupenda bure wallah, yani hamna sehemu ninayosoma bila kuacha kucheka
 
shikamoo money penny
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…