Love; knocked me out | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Love; knocked me out

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by jouneGwalu, Apr 18, 2011.

 1. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Kutoka kwenye experience yangu binafsi.
  Nilikuwa na mrembo, mambo yalikuwa mazuri sana kati yetu... Tukapitia mengi sana kwa takribani miaka 3.
  Mipango ilikuwa mingi sana baina yetu.... baadae kidogo mambo taratibu yakawa yanabadilika, chating za mara kwa mara zikaanza kupungua, maongezi kwenye simu yakawa ni mafupi sana tofauti na enzi zile za "kata wewe" na ikawa hata tukionana na tukiwa pamoja stori hamna kabisa uchangamfu wake kwangu ukapungua sana hata kama hatujaonana kwa muda mrefu mkionana sikuhyo hata hug utapewa kwa kulazimisha tu, mbaya zaidi hata radha ya mechi ikawa kwenye hatihati akawa kama mtu asiye na hisia kabisa so anajilazimisha ili asiniboe sababu mi bado nilikuwa hot kwa mapenzi yake.
  Nikanotice hayo mabadiliko, tukajadili. Aksema hata yeye anajiona kama hayupo sawa ila hajui hasa tatizo ni nini ila akaniahidi kubadilika na kila kitu kitakuwa poa, nikamuelewa, tukaendelea! Kwakweli wala hakuna kilichobadilika, ikatokea siku nikamuandalia zawadi ambayo binafsi niliithamini sana..... Sitakuja kuisahau hiyo siku, aliipokea kwa kawaida sana afu wala hakusema ameipata hadi baada ya siku kama 3 hivi, ikabidi nimpigie kumuuliza kama ameipata, akasema atanipigia. Baada ya mda akapiga ndiyo kunishukuru, hata hvyo na moyo ushavunjika so nikamuitikia tu.
  Huwezi kujua nini kipo kwenye moyo wa mwanamke ila kwa siku zile (nadhani mpaka sasa) nilikuwa namwamini sana yule mtoto, so nikawa najua ni moods zake tu sifikirii kama kuna mtu mwingine (japo inawezekana yupo).
  Kama january hivi akaniambia hana hisia za kimapenzi tena kwangu. Sababu nilishaziona dalili toka mwanzo so haikunishtua sana japo "its hard to let go" nikamwambia sawa kama mapenzi yameisha basi nakuacha, uniache, tuachane! Badala yake akaniomba tuwe marafiki tu, nikamwambia haiwezekani. Mi toka siku ile nikaachana nae sikuhangaika kumpigia simu wala kumtext...
  Tunakutana FaceBook kwenye (status) comment za marafiki zetu, sometime anaandika post kwenye wall yangu, so huwa inabidi nimjibu. Majuzi kama mwezi umepita akanitext kujua naendeleaje nikamjibu nipo poa nafanya vizuri.
  Niwe muungwana kwa kukiri kuwa yule mtoto bado nampenda bado ila sina mpango wa kumlilia kwa penzi lake since ametamka kuwa "PENZI LAKE LIMEKWISHA", kinachoniweka kwenye mapenzi na mtu ni yeye anipende na mimi nimpende. Hiyo statement ndiyo inazunguka kichwani mwangu kilasiku na imenifanya nililete suala hili mbele ya WANAJAMII wenzangu mnisaidie kidogo, inakuwaje? eti mapenzi huwa yanakufa?
  Kwa hii hali ndiyo maana nikasema "love; knocked me out"
  Naomba kuwasilisha jamvini wana-JF.
  Kama haupo interested potezea usizingue!
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Apr 18, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Really?
   
 3. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Sure,ngoja nipotezee maaana sina mawani karibu hapa
   
 4. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #4
  Apr 18, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  pole sana,mapenzi kama yalivyo na mwanzo yana mwisho pia,wengine tunawekwa na mtu sababu kuna factors nyengine zinachangia kama watoto,kipato etc....kama mtu angeweke kny mizani kama sio watoto na kipato ndoa nyingi mapenzi yashajifia kitambo.
   
 5. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #5
  Apr 18, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,640
  Likes Received: 1,429
  Trophy Points: 280
  aliona unampotezea muda tu.. miaka mitatu yote hujaonyesha dalili za kwenda next level unategemea nini?
   
 6. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #6
  Apr 18, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Inawezekana, lakini ndio maana nikasema tulikuwa tunamipango mingi na yeye!
  Sure aliona nampotezea muda, kumbe mapenzi hayaishii kumpenda mtu tu na "to be there for her"
   
 7. k

  kisukari JF-Expert Member

  #7
  Apr 18, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,757
  Likes Received: 1,046
  Trophy Points: 280
  mapenzi hufa kaka,ila inauma sana tena sana kama wewe bado unapenda mwenzako hata habari na wewe hana.ingawa inauma,lakini kwa upande mwengine,amefanya vizuri kukwambia,usijipe hope yoyote kwa huyo dada.muda ukizidi kwenda utazoea,ila kwa kuwa bado una feelings nae usijenge mazoea sana kwake utazidi kujiumiza.
   
 8. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #8
  Apr 18, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Ahsante sana, ngoja niendelee tu ku-make more money!
   
 9. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #9
  Apr 18, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,640
  Likes Received: 1,429
  Trophy Points: 280
  mkuu hawa viumbe wagumu sana kuwaelewa we ukifikiria hichi yeye unakuta yuko kwingine kabisa but life goes on...
   
 10. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #10
  Apr 18, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Tupo pamoja kiongozi, ahsante sana! Naendelea kumkwepa japo anajileta leta kama hvyo kwenye FB mara kunitext ila nimejiahidi sitarudiana nae tena. Nadhani nitaweza kum-delete tu
   
 11. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #11
  Apr 18, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Kweli kabisa ndugu yangu,saiv nawaelewa washkaji wanaofanya u-player na kuwadharau mabinti (japo sina mpango wa kuwa hvyo)
  Huyu binti amenipa new experience na namna ya kuyaangalia mapenzi!
   
 12. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #12
  Apr 18, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  sometime what goes up must come down ..

  kwanza pole
  pili huyo dada kweli yaelekea mlikuwa
  manapendana sana wakati wa mwanzo..

  kilichiotokea hapo kati ni fumbo
  ni fumbo ambalo ni rahisi sana kulifungua..

  1. kuna kitu hakupenda kuhusu wewe
  2. kuna kitu haukumtimizia lakini hakupenda kukueleza
  3. labda anataka tena ku enjoy single life..
  4. per pressure kutoka kwa marafiki...
  5. labda alikuwa namahusiano na mtu mweingine..

  nway kujibu swali lako
  Mapenzi ya kweli kabisa hayafi hata siku moja..
  na unatakakiwa kugundua kwa sababu unampenda mtu
  does not necessarily mean you belong together forever.
  kuna wengine wanapenda wasipopendwa....
  na dhani hicho ndo kilichotokea kwako ...
   
 13. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #13
  Apr 18, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  bora mm sijui kupenda
   
 14. F

  Fay2011 Member

  #14
  Apr 18, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole sana kaka may be hakuwa ubavu wako, vuta subira Mungu atakupa aliye wako. True love always never die.
   
 15. Mahai

  Mahai JF-Expert Member

  #15
  Apr 18, 2011
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Pole sana. Inawezekana mlikuwa na mipango mingi lakini yeye akaona anarush sana ku-settle down na wewe wakati there are so many interesting people like you to know out there.
   
 16. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #16
  Apr 18, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  alikuchoka huyo!!
   
 17. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #17
  Apr 18, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  ha ha ha ha.....Life goes on both sides bwana...nyie wenyewe hamueleweki.....hakuna aliye rahisi kati ya mwanaume na mwanamke kueleweka!
   
 18. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #18
  Apr 18, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Vizuri umekuwa mwepesi kuelewa na ukaendelea na maisha yako na yeye na yake.....utampata tu atakayekupenda ulivyo,kukuheshimu na kukujali....maisha lazima yaendelee kwa furaha na kujiamini zaidi.....ndio mapenzi yana mwisho na kwa wengine hupungua na kurudia kama zamani na wengine yakiisha ndo kimoja......!!
   
 19. The Kop

  The Kop JF-Expert Member

  #19
  Apr 18, 2011
  Joined: Aug 7, 2010
  Messages: 208
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  it hurts most to see someone u, loves someone else, when love ends life continues...!
   
 20. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #20
  Apr 18, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  daH AKA kastor mbona km kamenigusa vile.....aujaniandka kweli?
  yap....HAKUPEND.
  TAFUTA MWNGNE.
  USIJIUMIZE WAL USPOTEZE MUDA.
  nawasilisha kwa maexperience ya kutosha on ya topic.
  byeeeeeeeeeeeeeeeee:sleepy:
   
Loading...