- Thread starter
- #21
Nahisi sijampataJF bhana..ukute wewe ndio mwalimu wao wa kulia lia katika mapenzi
Kama ni kweli iko hivyo kwako labda hujampata uliyempenda sana
Nahisi sijampataJF bhana..ukute wewe ndio mwalimu wao wa kulia lia katika mapenzi
Kama ni kweli iko hivyo kwako labda hujampata uliyempenda sana
Ngoja nisubiriWakati wako haujafika
Unachozungumza kiko mbali na mantiki yanguHamna mtu asiependa, hata wale manunda wanapenda tu wakikutana na mtu flani. Kama huna hisia nimtie mamaako risasi ukiwa unashuhudia halafu upotezee hapo ntakuona kweli adolf hitler!