kanyooo????
Shikamoo Nyerere, kama sio wa mentioned kabila kula ganzi tu....
Kwanini shikamoo Nyerere? Natamani kukuelewa!
Kwanini shikamoo Nyerere? Natamani kukuelewa!
alikuwa anapinga ukabila na udini binti kiziwi
Nafikiri anamrespect Mwalimu kwakuwa alipinga haya mambo ya ukabila ambayo huyu mtia nia hapa kaongelea.