Love defined........................

I really like this, but what about affinity and a feeling of love that comes from the heart? Simple love that comes from the heart is a basis that withstands the test of time. Love from heart is different than "chemistry"

Indeed,umenena mkuu...........
 
......... may be here but not sure

In your own words what is love and do u believe in that love you have to your gal or even to your friend. Is it real love or just by the way love or because of something or a conditional love

.............love is that irresistable feeling of happiness that flows naturally and automatically from within without being influenced by external forces(such as beauty,needs,etc) that brings to you a true happiness and a caring desire regardless of the up coming consequences................its my opinion
 
MJ1…mambo mengine huwaga tunayagumisha (nimeliunda mwenyewe hili neno na sijui kama lipo kwenye kamusi ya mtu) tu sisi wenyewe. Kuyafasili mapenzi kwa lugha yetu ya Kiswahili wala siyo vigumu kama unavyodhania. Mapenzi ni dhana. Ni dhana inayofurahisha nafsi. Ni dhana inayomfanya mtu ajisikie naye ni mtu katika watu. Ni dhana yenye utamu na machungu. Ni dhana inayoweza kuleta raha na shida.

Ni dhana inayoweza kumpatia mtu wasiwasi ama amani. Ni dhana inayoweza kumfanya mtu ajione yuko kwenye dunia tofauti kabisa na wengine. Ni dhana inayoweza kumfanya mtu augue au awe mwenye afya.

Nasema mapenzi ni dhana kwa sababu mapenzi siyo kitu. Mapenzi hayashikiki, mapenzi hayaonekani – huwezi ukanyoosha kidole na kunionyesha eti yale ndiyo mapenzi, mapenzi hayana rangi na wala hayana harufu.

Mapenzi ni dhana iliyopo kichwani. Kutoka kichwani inaelekea moyoni. Ikitoka moyoni inaelekea usoni. Ikitoka usoni inaelekea tumboni. Na ikitoka tumboni inasambaa mwili mzima.




.........................perfection of what i felt.....u have tailored it perfectly
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom