Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,048
- 143,030
Wow! maelezo mazuri sana NN sikujua kama unajua kiswahili hivi....ok baada ya haya how can you tell someone loves you?
Halafu NN hii signature yangu imekukamata sana.....Yeah ni One of those very simple person you can even ignore when around them, but the wallet my friend keeps them goingWhat does simple Look But Tough in Wallet mean?
Salama salama mkuu
Hope uko salama kabisa
Nashangaa definition yako hiyo ni mpya kabisa
Nilizaliwa Darisalama hospitali ya Ocean Road saa mbili za usiku,siku, tarehe, na mwaka kapuni. Kwa hiyo Kiswahili ni lugha yangu ya kwanza. Ni lugha mama kwangu. Na ni lugha ya asili. Siwezi kutokukijua Kiswahili ingawa sikijui chote.
Kwa raghba na uchu nilionao, nitaendelea kujifunza na kuhimiza wengine wajifunze na wakitumie zaidi katika mawasiliano yao na wenzao. Bila hivyo kina hatari ya kumezwa na hatimaye kufifia kama siyo kutoweka kabisa vinywani mwa waja kwa sababu ya huu mseto uitwao "Kiswanglish".
Kwa hiyo natoa wito kwako na kwa wengine kukitumia kila iwezekanapo bila kuchanganya na hiyo lugha ingine tuliyorithishwa na mkoloni.
Wakatabahu,
Jemedari wa Majemedari Nyani mwana wa Ngabu
Na kile kidhungu kigumu je umejifunzia wapi thathaNilizaliwa Darisalama hospitali ya Ocean Road saa mbili za usiku,siku, tarehe, na mwaka kapuni. Kwa hiyo Kiswahili ni lugha yangu ya kwanza. Ni lugha mama kwangu. Na ni lugha ya asili. Siwezi kutokukijua Kiswahili ingawa sikijui chote.
Kwa raghba na uchu nilionao, nitaendelea kujifunza na kuhimiza wengine wajifunze na wakitumie zaidi katika mawasiliano yao na wenzao. Bila hivyo kina hatari ya kumezwa na hatimaye kufifia kama siyo kutoweka kabisa vinywani mwa waja kwa sababu ya huu mseto uitwao "Kiswanglish".
Kwa hiyo natoa wito kwako na kwa wengine kukitumia kila iwezekanapo bila kuchanganya na hiyo lugha ingine tuliyorithishwa na mkoloni.
Wakatabahu,
Jemedari wa Majemedari Nyani mwana wa Ngabu
Ohhh ok ok nimekupata
mhhh Bht kwani yule dada ninauemkuta pale mrina bar na nikawa na mapenzi naye kwani yule nina upendo nae
wakiitwa wanaojua kiswahili na wewe utatoka? Mimi to be honest sijaona.uko shalow sana.unaitaji darasanilizaliwa darisalama hospitali ya ocean road saa mbili za usiku,siku, tarehe, na mwaka kapuni. Kwa hiyo kiswahili ni lugha yangu ya kwanza. Ni lugha mama kwangu. Na ni lugha ya asili. Siwezi kutokukijua kiswahili ingawa sikijui chote.
Kwa raghba na uchu nilionao, nitaendelea kujifunza na kuhimiza wengine wajifunze na wakitumie zaidi katika mawasiliano yao na wenzao. Bila hivyo kina hatari ya kumezwa na hatimaye kufifia kama siyo kutoweka kabisa vinywani mwa waja kwa sababu ya huu mseto uitwao "kiswanglish".
Kwa hiyo natoa wito kwako na kwa wengine kukitumia kila iwezekanapo bila kuchanganya na hiyo lugha ingine tuliyorithishwa na mkoloni.
Wakatabahu,
jemedari wa majemedari nyani mwana wa ngabu
Halafu NN hii signature yangu imekukamata sana.....Yeah ni One of those very simple person you can even ignore when around them, but the wallet my friend keeps them going
mmmmmmhkusema ukweli hiyo kauli mbiu yako imeikamata nadhari yangu kwa muda mrefu sasa na mimi nilivyo king'ang'anizi wa kupenda kujua kuliko kusadiki wala kudhania nikaapa kila nitakapopata fursa ya kukuuliza basi nitakuuliza.
Hayawi hayawi leo yamekuwa na umenijibu. Nashukuru sana kwa hilo.
yote yawezekana kwa imani
hamna mapenzi bila upendo
Upya wake ni upi?
wakiitwa wanaojua kiswahili na wewe utatoka? Mimi to be honest sijaona.uko shalow sana.unaitaji darasa
Na kile kidhungu kigumu je umejifunzia wapi thatha
ngoja nikutafutie sponsorhamna neno kwani huo ni mtazamo wako. Na hakuna mahala ambapo nimejigamba au kudai mimi ni gwiji ama nguli wa lugha ya kiswahili. Mimi sijui yote na kiswahili sikijui chote. Sina hata shahada ya kwanza ya kiswahili. Kwa hiyo ninajua ninachokijua na naendelea kujifunza zaidi.
wakiitwa wanaojua kiswahili na wewe utatoka? Mimi to be honest sijaona.uko shalow sana.unaitaji darasa
ngoja nikutafutie sponsor
Bht swali langu halijapata jibu
Mimi nineenda pale kibiashara zaidi yaani kutafuta satisfaction ya muda mfupi na nimemkuta sina upendo nae ila i need that thingy
sasa hapo unasemaje
jibu mbona unalo tayari au unataka tu usikie mimi ntasemaje?
utaniweza ?wewe nyani mimi chuiafu wewe kwa nini unanchokoza lakini? Unataka kupigana?
utaniweza ?wewe nyani mimi chui