Hi guyz,naamini mpo poa.
Kama title ilivyo napenda kuanza na maneno haya."you need to make a commitment, and once you make it, then life will give you some answers."
Ndugu zangu nmejikuta nafikiria sana juu ya vijana katika hii zone ya mahusiano (dangerous zone to youth), inasikitisha sana jinsi vijana tunavyomaliza na haya mapenzi katika namna tofauti na wengi kuharibikiwa na future naamini ninyi wenyewe ni mashuhuda wa hili.
Hivyo basi ndugu, please naombeni tuwe na real commitment katika mapenzi, unapoamua kua na fulani basi awe huyo na sio mchanganyo, hapa naongelea ile commitment ya kweli toka ndani. hii itatuweka mahala pazuri na salama ndugu yangu.
Mimi tangu mwaka 2012 nilifanya real commitment na tangu hapo hata nimuone boy handsome kiasi gani yani namsifia tu u mzuri kimoyo pia naongezea lakini hujamfikia wa kwangu. wenye pesa kumzidi wangu wengi wamenitaka na still wengine bado wanasumbua, lakini wapi nimeridhika nae na hakika na yeye hana hata mpango wa kufikiria upande wa pili,it is real we made a commitment.Hebuna wewe siku ya jumamosi mwambie wako pia muweke real commitment.
Jioni njema.