Love Bites

Watoto unaochukua wananuka shingo utaiweka wapi love bite, halafu mke wa mtu au mme wa mtu utamwekea wapi love bite, unataka aachike,raha ya lovebite uwe atleast coloured, & no strings attached to ..........................., thank you vry much

Hao watoto wanaonuka shingo, kwann wasikuchumbue wewe shingo kwa kuzidia dozi??
Inaonekana siku izi watoto wanauwezo mkubwa sana wa kuhimili.
 
kiiza usinikumbushe enzi izo ulikuwa ukiwekewa hiyo unatembea na kioo ukijiangalia tuu na kumuwaza muwekaji siku izi sithubutu labda aweke ndani ya sketi ujana una kazi acha
 
kiiza usinikumbushe enzi izo ulikuwa ukiwekewa hiyo unatembea na kioo ukijiangalia tuu na kumuwaza muwekaji siku izi sithubutu labda aweke ndani ya sketi ujana una kazi acha

chauro umenichekesha sana.
 
Back
Top Bottom