Love bites na karaha zake

Kuna watu wanapenda hizo mambo me sipendi kabisa na hii rangi unajikuta week nzima unayo

Wengi wanapenda raha ya kunyonywa shingo ila hawapendi hizo mark.
 
Kwa nn umtafune legeza makali ya lips zako kwenye shingo yake punguza mhemko ili asipate izo bites other wise utumie teeth protector kama bondiaa

Ushauri mzuri mkuu, nashukuru
 
Utoto huo...ukikua utaacha.Sijawahi kuona kwa watu wa makamo;sio kwamba hawangonoki.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…