mwana ally
JF-Expert Member
- Jan 30, 2014
- 363
- 119
mahaba nipige shoti nitetemeke
mahaba nipige shoti nitetemeke
hii sasa ni mahaba nijeruhi nijiuguze.
natamani nipate hilo lilove bite. hakuna wa kuvoluntia???
Mmmh hayo ni mahaba nibadili ngozi yangu iwe kama kombat ya jeshi....
Mahaba nichinje unizike!!!!
Mahaba nipindue na boya sina
Hayo makitu sijawahi kukutana nayo
Nina ndugu yangu amelakamika kuhusu mpenzi wake anaye mng'ata wakati wa "love making" amebaki na makovu na alama kila mahali. Kila akimuomba jamaa haelewi anamwambia kuwa ni kati ya vitu anavyohusudu kwenye mapenzi. je afanyeje kuondoa makovu na alama.Msaidieni jamani.