BAGAH
JF-Expert Member
- Jan 17, 2012
- 4,523
- 1,060
kila anaeniona ofisini ananizonga-zonga eti nimedandiana sana weekend...ivi kuna namna ya kuiondoa hii slag tag?...au ndio nivae pulneck na joto hili la dar?...msaada plz!
key: love bite ni alama inayotokana na busu KALI au kunyonywa sehemu ya shingoni au mkononi(au kwingineko)
key: love bite ni alama inayotokana na busu KALI au kunyonywa sehemu ya shingoni au mkononi(au kwingineko)