Love bite - black chocolate

Work from home eeh!

Heey one of Kasie's favourite boy.... πŸ˜›
It has been long time mmmmmhhh ...... good to see you again. Hope msuli anakuwekea chata barabara
Always, bin popo.
 
Reactions: BAK
hahahahaahaaaaaa na utamu ukaishaa woooote
 
sometimes it's important to Mark your territory, but not that way huh
 
Yaani kwakweli jamaa naona alitaka kuweka tatoo na sio love bite khaaaa hehehehheeee
 

Hhahahahaaa jamaa atakuwa vampirekwakweli mie mwenyewe nilicheka mnooo,

Ila ya kwako kiboko, kuona roho inataka kutoka ukampiga kibao bae wako hehehehee love bite zina mamboo hahahaaa polee lakini japo haijai chungu.
 

Kumbe ina utaalam eeeh kweli mashokolo mageni haya kwa Kasie looh. Halafu love bite huwa zinawekwa maeneo maalum au popote pale?

Sasa kama hiyo love bite inawekwa kwa utaalam ikiwa haina maumivu kwa muwekwaji na haichukui muda tena hata mtu mweusi itaonekana.... eeehhh hata weusi kama Mpoki au Lupita bado love bite itaonekana.....!!!!????? kweli utaalam unahitajika mie ujuzi huo sina itabidi nianze tuition ya uzeeni.
 
Interesting

You are interested in so many things eeehh.............. I wonder how you manage your interests..............

Anyways, there are things in life are so difficult to explain............ you know why.

Msalimie kabanga maana nae utamsikia ''Aiseeeh.....''
 
Love bite ni kunyonya shingo kidogo sio kutumia meno na alama nyekundu itabaki for some days ,,,,,mambo mengine yanahitaji uzoefu
 
Ahahahahaha

kuna Mdada aliniambia " usini kiss shingoni banaaa"
mtoto mweupeee
 

Hheheheeee kwahiyo jamaa alitumia hasira atimaye kuzalisha maumivu looh
 
LOL! hahahahahaha hujasahau tu hii MSULI? Msuli she is doing so well she is very special in so many ways.


Heey one of Kasie's favourite boy.... πŸ˜›
It has been long time mmmmmhhh ...... good to see you again. Hope msuli a
Always, bin popo.
 
LOL! hahahahahaha hujasahau tu hii MSULI? Msuli she is doing so well she is very special in so many ways.


Huko sasa kutiana wivu hukoo.............

Siwezi kusahau n that proves that you were always in my mind while you were away.......

I just don't want to say how big I missed you πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚

Kasie.
 
Reactions: BAK
Densi hiyooooo πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚



Huko sasa kutiana wivu hukoo.............

Siwezi kusahau n that proves that you were always in my mind while you were away.......

I just don't want to say how big I missed you πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚

Kasie.
 
Asante mkuu kibaya ni kuwa hatukuwA deep kwny mahabati so it means akili yngu ilikuwa normal mi nakAjua kiss ya kawaida heh kumbe kachange gear angani!!!hahahHaha mpka leo naogopa sana hyo kitu!!!

heheheee umepata woga poleee, ila wenyewe wanasema ukipata orientation basi unakuwa fundi.... labda uwaone wakupe darasa hahahahahaa love bite kumbe inavisanga vingi hehehee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…