Unaempenda hakupendi kumbe naye ana mtu ampendaye
Huyo anayependwa naye hampendi anayempenda huku naye kuna mtu anampenda na yeye hapendwi
[emoji23]
Mpenzi mliyekutana accidentaly mtadumu kuliko hata ulomtegemea kwamba mngedumu
[emoji7]
Kwenye mapenzi ombea mwanamke ndio akupende zaidi huyo atavumilia. Ila usiombe upende mwanamke ambaye hakupendi hutoboi
[emoji45]
Utaenjoy sana mapenzi ukipata mtu sahihi
Finally tunaumizwa na watu tulowaamini sana, na wanaokuja kutufariji ni watu baki kabisa
[emoji45]