ππππAaah heri ya kutimiza mwaka mmoja katika furaha yenu ya malavidavi,, oooohwww imekaa kama birthday wish vile,, hongereni tena,, kadunia kalivyochafuka ukibahatika kupendwa hivi lazima ujione una bahati,, na penzi la kweli na la kudumu huwa linajidhihirisha baada ya miezi 6 mpaka mwaka..... Sasa kwa shangwe hizi na Ni mwaka, mdogo wangu km nakuona genye zake usivyomshiba Yani,, unatamani umle mzima mzimaπππππ
Enjoy hun
Haya sasa, wanawake na nyie mtupe majibu huwa mnafanyaje katika situation kama hii iliyomkuta mtoa mada mwaka uliopita. Mtoa mada amekwisha kueleza yeye alisali wapande bus moja.
Hilo bus linaitwaje, and ilikuwa n route ya kutoka wapi kwenda wapi, tuangalie majina ya abiria waliosafir siku hio
Love you sweetheart...hakika umekua mwema kwangu..!
Na leo nitakupa mnyapio ule unapendaga .
HahahaImetokea sio Mara moja wadada Wana fall at first sight kwangu huwa nawaonea hurumaa ila ending point huwaga sio nzuri...
Kaka zangu wa ukoo Huwa wananambia KUA mini ni mbegu nzuri
Haijatimiza mi 4 bado ni mi 3 bana mi 4 hadi Novemba hapo πππ
MmmhHongera sana dear J, mje mzeeke pamojaπ
Naamnplpl. UHongereni inapendeza kuona watu wakioneshana ya upendo β€
Utoto mwingi sana aisee halafu hajui jf vizuri huyu ndio maana anafanya huu utoto
Sijaelewa ulichoandika mkuuNaamnplpl. U
Keyboard errorSijaelewa ulichoandika mkuu
Mmeachana nilie?
Imagine Mungu alikuwekea chance ya ombi utakaloomba direct anakusaidia.. Umeomba jamaa aje akae siti moja na ww... omba mume achana na mtu wa kumpa zawadi ya bure!!