Lov

Mlyang'ombe

Member
Sep 18, 2012
9
1
Oya wadau i hv a p,plm naomba mnisaidie kuna dem mmj nampend knouma ila kla nkmwambia ananjbu kuwa tayal kuna men ambaye anamkamatia en m stll lovn her xo n2mie njia gan nyngn kumpata cz nmejalbu km mara 3 bt cjafankiwa majbu ni yale yale kuw awez kuhandle wa2 wwl kw wakat mmj
 
Haya nayo mapyaaaaaaaaaaaa! inabidi mkapa uanze kufafanua herufi na kama hivyo ndivyo unavyo tongoza hakukubali hata miaka 100..ebu jirekebishe kwanza....
 
Sasa ushauri gani tukupe maana hata spare tyre hataki kukuweka. Ndo hutakiwi mkuu
 
hivi kizazi hiki kinakuwaje!!!hili nalo ni la kuleta humu kwa great thinkers wakushauri!!!kama mtu kisha kwambia ana mtu wake unachong'ang'ania ni nini!!!!
 
Oya wadau i hv a p,plm naomba mnisaidie kuna dem mmj nampend knouma ila kla nkmwambia ananjbu kuwa tayal kuna men ambaye anamkamatia en m stll lovn her xo n2mie njia gan nyngn kumpata cz nmejalbu km mara 3 bt cjafankiwa majbu ni yale yale kuw awez kuhandle wa2 wwl kw wakat mmj

Unaongea lugha gani? Kiasi ukataliwe huna ustaarabu

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Nyie watoto nyie jamani mambo mengine na lugha zenu hizi wekeni kule facebook tafadhali.
 
hivi kizazi hiki kinakuwaje!!!hili nalo ni la kuleta humu kwa great thinkers wakushauri!!!kama mtu kisha kwambia ana mtu wake unachong'ang'ania ni nini!!!!

ukiona hivyo ujue kapenda ua na boga lake...yaan limoyo lote limemdondokea hivyo anataka kutumia ile style ya kata mti panda mti...
 
umeona eeh!!! huyu dogo akue kwanza maana inaonekana katamani na wala hajapenda...maubishoo yake ayapeleke huko fesbuk sio hapa....!!
Haya nayo mapyaaaaaaaaaaaa! inabidi mkapa uanze kufafanua herufi na kama hivyo ndivyo unavyo tongoza hakukubali hata miaka 100..ebu jirekebishe kwanza....
 
Unapomtongoza girl usimwulize kama ana mtu we ingia kivyako,ni mara chache sana kutoswa ila ukishaanza kuulizia lazima uchinjiwe baharini
 
Naombeni lianzihswe jukwaa la kujifunza kusoma na kuandika kiswahili.

Hivi siwezi kupewa u-mod wa lugha? Nataka niwe babu kifimbo cheza hata bila malipo.
 
kama hutaki kukubaliana na matokeo,alternative iliyopo ni kumpiga jamaa kipapai.kuna jini linaitwa jini masikitiko ukimpiga hilo mkuu unang'oa kilaini
 
Tatizo wewe unatumia swaga za kizamaniii! Unasomeesha afu unamuulliza mwanafunzi UMENIELEWA? We unadhani atasema amekuelewaaaa? Thubutuuuuuu! Dawa ni moja tuuuu! Wewe usitumie njia ya 1960,s come on! This is the 2000's error, wewe ukienda kwa demu TANGAZA NIA! Usiombe historia, mwongozo,itifaki, msimamo, angalizo wala nini, ukishatangaza nia, anza ACTIONS ZA KIUTU UZIMA, baadae mambo yatajipa, mtakiss, na vingine bila KUULIZA UMEKUBALI! Unazani utajibiwa NDIO MWALIMUUU!
 
Acha kuongea kwa codes labda atakuelewa. Yaani hii post kama ulikuwa unanitongoza ungenoa, manake sijaelewa.
Ila muambie walau akudanganye danganye tuuu, asikuambie ukweli ukaumia.
Best BAK, msaada tutani tafadhali.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom