Lotus karudi???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lotus karudi????

Discussion in 'Celebrities Forum' started by bibikuku, May 27, 2011.

 1. bibikuku

  bibikuku JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Wanajamvi naomba mnisaidie nataka kujua kama Lotus amesharejea Dar es salaam au bado? Kwa mwenye taarifa naomba anipe maana nataka nikamfanyia mahojiano binafsi nijue kule BBA alikuwa akijiwakilisha yeye ama alikuwa akiwakilisha wanawake wa Tanzania ama alikuwa akituwakilisha watanzania wote. Nisaidieni kupata taarifa hii tafadhalini sana.
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Swali la kumuuliza ni kwamba katumwa na nani? watu hawajui, wizara usika haina taarifa
   
 3. P

  Patrick Nyemela JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2011
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 330
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Amesharejea Dar, ukisoma magazeti ya leo yametoa taarifa hiyo.
   
 4. pcman

  pcman JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2011
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 743
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  yuko dar.nenda michuzi blog kwa details
   
 5. B

  Babu Ubwete Senior Member

  #5
  May 29, 2011
  Joined: Jan 26, 2008
  Messages: 169
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Je Lotus ni Kweli unamatatizo ya akili? Mbona ulipoinia BBA ulikuwa kama unapiga Crystal meth. Kelele bin mapepe na R u real proud of what u have been doing in that BBA House?
   
Loading...