Kang
JF-Expert Member
- Jun 24, 2008
- 5,637
- 2,476
http://za.casinorelease.com/tanzani...tteryurhandziwa-ltd-to-build-national-lottery
Kampuni ya Murhandziwa kutoka SA imeshinda tenda ya kuendesha lotto ya taifa ya Tanzania ni inategemea kuanza kazi tarehe 4 mwezi wa saba.
Kampuni hiyo inaendesha lotto ya Malawi na iliwahi kuendesha moja ya lotto za SA kabla ya kupoteza mkataba huo.