Lorry laanguka laziba barabara Vigwaza'Chalinze Dar

Giddy Mangi

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
830
184
Lorry la mizigo limeanguka katikati ya barabara na kuziba njia kuu itokayo Chalinze kwenda Dar.Source mimi mwenyewe eneo la tukio.
 
VP LIMEUA?
KAMA LIMEUA TUMPELEKEE TAARIFA MUKULU
ILI ATUME SALAMU ZA RMBRMB!
:frown:
Teh teh! Lol! Mukulu Full full ndani ya NY! Hivi anaonaje akiwa kule na Umeme upo 24/7 anajisikiaje? Huwa Hatamani inchi yake ingekuwa kama huko alipo?
 
Back
Top Bottom