Looks like The Jacksons five

Samia na Prime minster. Inanikumbusha wakati wa Mkapa Sumaye alikuwa kama kapicha kakuweka kaonekane. The same now. Hata wakisema katumbua ni geresha tu. Mwenye kisu ni baba J. na mwanae Bashite halafu huyo ndaga fijo anachochea moto. Ndungai ni kapicha ka makao makuu. Mtu anayempiga mwezie bakora ili apate ubunge hawezi kuwa na fikira yakinifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…