Looking for teacher with child psychology expertise | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Looking for teacher with child psychology expertise

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by namtumbo, Jan 8, 2012.

 1. n

  namtumbo Member

  #1
  Jan 8, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 68
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 15
  Ninatafuta mwalimu wa grade 2 & 3 kwa ajili ya kufundisha tuition kwa watoto wa grade 2 na grade 3.
  preferably awe female,mwenye fluency katika lugha ya kiswahili na kiingereza. Kuzungumza lugha nyingine kama kifaransa ni added advantage. Masomo ya kufundisha ni hesabu, sayansi, kiswahili, kiingereza,kifaransa na jiografia. Muda wa mafunzo ni siku 3 kwa wiki, kuanzia saa 10 hadi saa 12. Malipo nj maelewano. SylBus ni ya cambridge
   
 2. P

  Ptz JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 466
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 60
  Hiyo grade 2 na 3 ndo walimu wa namna gani? Mi najua mwalimu mwenye cheti, stashahada na shahada, naomba kuelimishwa plz!
   
 3. n

  namtumbo Member

  #3
  Jan 8, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 68
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 15
  Samahani, hizo grade 2 & 3 ni ngazi waliopo wanafunzi watarajiwa wa mwalimu anayetafutwa. Mwalimu huyo akiwa wa ngazi ya diploma, degreemitakuwa vizuri zaidi
   
 4. P

  Ptz JF-Expert Member

  #4
  Jan 9, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 466
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 60
  Toa contacts mkuu mambo mengine si ya kuongelea hm jf! By the way, shule iko wapi Dar, Moro au Kigoma?
   
Loading...