Looking for 'Senorita' that I will later call her 'Senora Mimi'

Wadada wanaodhani kuwa wanaweza wakanipenda kura yenu hapa!

  • Ndiyo

    Votes: 3 75.0%
  • Hapana

    Votes: 1 25.0%
  • Nafikiria

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    4
Umenikumbisha mbali na hii tamthiliya ya 'la mujer de mi vida'
nilikua mtoto kipindi kile yaani ilikua kila nyumba mpaka nyumban ikifika usiku watu wanaacha shughuli zao macho yako ITV kama sikosei kuangalia La Mujer
 
nilikua mtoto kipindi kile yaani ilikua kila nyumba mpaka nyumban ikifika usiku watu wanaacha shughuli zao macho yako ITV kama sikosei kuangalia La Mujer
Kiukweli ilitikisa sana! Enzi hizo ITV ndio ilikuwa habari ya mujini.
 
Back
Top Bottom