Wadada mngekuwa mnaweka ppicha zenu humu
muone 'ndoa ' zitakavyomiminika
Kila la heri nilitaka kusema neno zaid ila ngoja niishie tu apa
Hebu zeeka kwa amani, waache vijana wale maisha.
Mafyucha jazbend warefu mahandsam wamo humu jf, lol.
Hajapita Kaunga hapa nae na mausia yake ya mwaka 47 sijui pray na nini.
Kwa hizi picha zetu za 360 sijui na applications za android?
Ndio mambo ya kukimbiana appointment kwa mlango wa chooni lol
Hebu zeeka kwa amani, waache vijana wale maisha.
Mafyucha jazbend warefu mahandsam wamo humu jf, lol.
Hajapita Kaunga hapa nae na mausia yake ya mwaka 47 sijui pray na nini.
Sio ya 47 bwana ni kuanzia mwaka wa Bwana (AD) yanayosema mchumba mwema hupatikana kwa Bwana (sio shopping mall kumbuka) na prayer is a communication point na Bwana.
Si unaona mwenzio nilivyooteshwa kuwa The Boss is the one sikuweka bandiko nilimfuata PM directly na hata pamoja na flirts zake na zako upendo ule wa kwanza bado unatawala. Imagine ningekuwa nimemtoa sio kwa Bwana huo uvumilivu na upendo usioshake ningeutoa wapi?
Jamani inawezekana mwenzetu yupo serious tunakalia mijadala ambayo haina muafaka.
Sio ya 47 bwana ni kuanzia mwaka wa Bwana (AD) yanayosema mchumba mwema hupatikana kwa Bwana (sio shopping mall kumbuka) na prayer is a communication point na Bwana.
Si unaona mwenzio nilivyooteshwa kuwa The Boss is the one sikuweka bandiko nilimfuata PM directly na hata pamoja na flirts zake na zako upendo ule wa kwanza bado unatawala. Imagine ningekuwa nimemtoa sio kwa Bwana huo uvumilivu na upendo usioshake ningeutoa wapi?
Sawa mwali lkn kuna muda unaona kabisa huyu mtafutaj kuna jambo alilokosea
mweeh............ebu nisiseme mie
Hahahaaa, yaani nimeishia kucheka hapo kwenye flirts! Do i flirt with him? Aisee im a bad flirt, if im to do it hata paw angesha nitaliki lol. Relax, The Boss mzee mwenzio bwana mi na paw miaka laki nane hata platozoom anangojea hadi kesho niachike anirithi.
Halafu wewe ni binti aisee, mie mbona paw nilishikishwa na wazazi? Yaani mie hadi nguo ya harusi waliniletea tu!Umri umesogea haya mambo ya siku hizi ya vidate vya fb na insta huwa najiuliza tungedate enzi hizo labda na sie tungekuwa senema? Manake tusihukumu kabla, we were born before computers. Kuna shosti kaolewa chuo cha pili, baba wa watu na mvi zake anarushwa huko insta namuombea poo kimoyomoyo. Sina hakika anarusha rusha kutishia ama vipi.